Wanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne.
Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary...
Ndugu zangu,
Mimi ni mkulima mdogo wa korosho katika mkoa wa pwani. Mazao shambani mwaka huu hayakuwa haba licha ya kuibiwa kidogo (huu ni uzembe wangu niliajiri mtu asiye muaminifu licha ya...
I am a CRDB bank customer and a businessman.
I secured a contract worth sh 280m and approached CRDB for some financing and they asked for a collateral. I provided my house worth 320m as...
The leader of a Middle Eastern nation was given a global competitiveness report showing that his country, despite being a major oil exporter, ranked very low in terms of global competitiveness...
Wakuu habari. Nimepata tenda kusfirisha container 2 za transit kwenda Kigali. Tatizo sina c65. Sasa mwenye trailer naomba anikodishe. Nahitaji trailer 2. Ni pm au txt 0654000253
WanaJF kuna huu utamaduni wa kuuza chakula kwenye baa, badala ya migahawa. Nashindwa elewa kwamba serikali haioni kuwa inapoteza maduhuli?
Hawa mama lishe wanakwazwa na hizi baa zenye kuuza hata...
Katika matatizo au vikwazo mbalimbali vya biashara na ujasiriamali kikwazo cha mtaji kimekuwa ndio namba 1 duniani kote. Ingawa kikwazo hiki kinaweza kutoweshwa na mambo mengine kama ubora wa...
Habari wadau.
Business partner anatafutwa (Project ya maji safi Ubungo)
Mi ni kijana (me) 28yrs, graduate, mjasiriamali na mwajiriwa pia.
Natafuta mtu, Taasisi au Kampuni ya kushirikiana...
CANDID BOOKREVIEW
Succeeding as a Trader after Learning the Necessary Facts and Skills
This book profiles 22 renowned super traders from around the world. Great traders who know what it takes to...
Habari,
Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage).
Kwa mfano, mimi nina biashara yangu...
Salaam wana Jamvi!
Dunia sasa imekuwa salama na pia si salama ni wewe ndiye unachagua.
Binafsi kabla sijachagua salama huwa nina risk 30% ya kidogo ili kuona salama ndani ya ninachofanya. Say...