lisit of best TAX PAYER IN TANZANIA2013, 2014,2015

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,788
6,570
JAMANI..NAWEZA KUPATA ORODHA WAPI YA KAMPUNI ZILIZOKUWA BORA KULIPA KODI KWA MWAKA 2013, 14,15.

nIMEGOOGLE LAKINI SIJAFANIKIWA
 
JAMANI..NAWEZA KUPATA ORODHA WAPI YA KAMPUNI ZILIZOKUWA BORA KULIPA KODI KWA MWAKA 2013, 14,15.

nIMEGOOGLE LAKINI SIJAFANIKIWA

Kuna kampuni moja hapo dar naifahamu vizuri hadi ilipewa cheti na TRA kwa kulipa kodi inavyotakiwa.
 
Sheria ya TRA hairuhusu kutangaza walipa kodi ila kwa idhini ya Waziri wa fedha kwa kazi maalum
 
Back
Top Bottom