Chakula na pombe kwa leseni moja

LimaAlfa

Member
Dec 22, 2015
37
19
WanaJF kuna huu utamaduni wa kuuza chakula kwenye baa, badala ya migahawa. Nashindwa elewa kwamba serikali haioni kuwa inapoteza maduhuli?
Hawa mama lishe wanakwazwa na hizi baa zenye kuuza hata ugali. Wajasiria mali hawa wanastahili kupewa leseni za migahawa; na baa zikaruhusiwa nyamachoma na supu kama zamani. Hizi biashara mbili zikitenganishwa serikali itapata mapato mengi na pia usalama wa chakula utazingitiwa ipasavyo. Na pia ifike basi sio kila mwenye kutaka chakula aonekane anaingia baa.
 
Last edited:
Back
Top Bottom