ZaBeast
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 777
- 331
Salaam wana Jamvi!
Dunia sasa imekuwa salama na pia si salama ni wewe ndiye unachagua.
Binafsi kabla sijachagua salama huwa nina risk 30% ya kidogo ili kuona salama ndani ya ninachofanya. Say 50K against 1M..
In such a way hata mtu akisepa nayo sipati shida..
Ikiwa salama nafanya same percentage but naongeza physical value say 30% ya 50K kwa increment ya same % kwa phyisical value say ya 1M.
Hivyo basi ichukulie hivi unaonaje mtanzania ambaye kipato chake ni wastani ukampatia bidhaa ya thamani ya us $400 kwa laki 250 ?
Anaweza kweli mtu huyu kuwa muaminifu kutokana na mkataba mlio saini kulipia kidogo kidogo hadi akamaliza iwe atapewa huduma ama atapewa bidhaa?
Nimejaribu kwa vitendo lakini nafikiri sasa ni muda wa kujaribu kwa nadharia... kwa vitendo nimeshindwa kufanikiwa... lakini sample space yangu ilikuwa ni random kwa location na ni mara 10 tu si zaidi na kwa umri random ilikuwa ni kwa vijana wa kiume na wakike waliozaliwa kati ya 1994 and above ambao wana 18years old ambao hawakupata bahati ya kuendelea na shule ya sekondari ama waliishia njiani kwa matakwa yao ama mazingira ama walisoma kata haijawakomboa kiasi cha kutosha.
Pia nilifanya kwa watu 10 randomly waliozaliwa 1970 and above ambao some percentage ni wasomi wengine si wasomi lakini wana maisha ya kuweza kununua bidhaa na huduma kwa kulipia kidogo kidogo kwa muda mreefu possible bila kuathiri kipato na maisha yao.
Lengo lilikuwa ni kuwezeshana..
Matokeo hayakuwa mazuri kabisaaaa..
Asilimia 3% walikuwa loyal wengine walileta maneno katika bishara..
Swali langu...
hivi ni kiasi gani cha huduma na bidhaa mtazania wa kawaida kabisa anaweza kumudu kwa kiasi cha pesa atakacholipia kidogo kidogo kwa mwezi mwaka mwaka bila a lot of securities akiwa huru lakini simple security kumfuatilia anapoishi kwa kupitia serikali za mtaa etc etc...
Kwa mkataba maalum bila kuelemewa na akaeza kuishi maisha mengine bila shaka?
Natarjia ushirikiano wenu wadau..
Freedom to speak lakini naomba tusikwazane sababu nitakueleza ukweli juu ya medula ya yeyote mbwatukaji..
Naomba kuulizwa, kurekebishwa na kukosolewa nilipokosea kwa lengo la kufafanua na kufikisha ujumbe...
Naomba kuwakirisha wadau!
Asante!