Panel ya 100 watts ndo humo humo laki na nunu, battery laki na nusu kama sikosei, kuna inverter na controller charge, all most pengine laki tano, jaribu kutafuta humu JF wapo wenye companyWanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne.
Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali