ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 996
- 743
[FONT='Courier New', Courier, monospace]Katika matatizo au vikwazo mbalimbali vya biashara na ujasiriamali kikwazo cha mtaji kimekuwa ndio namba 1 duniani kote. Ingawa kikwazo hiki kinaweza kutoweshwa na mambo mengine kama ubora wa biashara.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Mtaji ni nini?
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT='Courier New', Courier, monospace]Mtaji mimi huwa naufafanua kuwa ni kitu chochote kinachompa mtu,kampuni au taasisi uwezo wa kuunda na kutengeneza bidhaa au kutoa huduma kwa ajili ya matumizi ya jamii. U[FONT='Courier New', Courier, monospace]wezo huu unaweza kugawanyika katika sehemu mbalimbali kama[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]1. Pesa
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]2. Mali
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]3. Huduma
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]4. Tehama
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]5. Mawasiliano/Taarifa/Data
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]6. Umaarufu wa mtu, watu au jamii
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Orodha ni ndefu sana. Kwa ujumla utagundua kwamba mtaji ni kile kitu uko nacho au ambacho unaweza kuwa nacho kitakacho kusaidia kuunda, kutengeneza au kutoa bidhaa au huduma ili utumike na kuisadia jamii inayokuzunguka.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Sasa hapo ulipo inatakiwa ujiulize unamtaji gani, yaani uangalie kila kitu ulichonacho na ujiulize je ni mtaji au mzigo. Ni dhahiri mizigo yote lazima uitue mara moja.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Mara nyingi aina mbalimbali za mtaji zinaweza ungana na kuunda mtaji mzima au zinaunda mtaji mmojammoja.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Mfano wa mtaji taarifa: Unahabari ya kwamba Makambako lori moja la mbao ni milion 1 lakini Mwanza lori hilohilo ni milion4, huo ni mtaji wa taarifa.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Vyanzo vya Mitaji Tanzania ni pamoja na:
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]1. Soko la Mitaji la DSM - wanaita kapital markets, hapa wanauza na kununua hisa, wanauza na kununua hati fungani na pia wanauza na kununua Options na futures. Hapa unaweza kupata mtaji wa kuendeleza au kuanzisha biashara yako.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]2. Mali au assets ulizonazo - mfano mifugo na mashamba.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]3. Zawadi au michango na Harambee - mfano urithi au gawio toka kwa wazazi ndugu na marafiki
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]4. Mishahara na ujira, Mifuko ya jamii - mfano kazi, kibarua na NSSF. Katika baadhi ya nchi mwanachama wa mfuko wa jamii unaruhusiwa kukopa 25% ya pesa yako iliyopo na kuanzisha maradi wako.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]5. Mitaji ya ushindani - mfano ni bid networks, pass na African Young Entre Fund. Katika kundi hili vijana wenye maandiko ya mradi huwasilisha miradi yao na kushindanishwa, atakaye shinda anapata mtaji.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]6. Mabenk ya mitaji - mfano TIB, benk ya wakulima, benk ya walimu
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]7. Mikopo ya mabenki, mfano ni izi bank za kawaida za kibiashara kama crdb. Kwa kuwa benki hizi mara nyingi huendeshwa kibiashara na utoaji mikopo kwa wajasiriamali sio lengo lao kubwa mikopo yao huwa sio rafiki kwa mjasiriamali. Ni bora ukachukua mikopo katika mabenki ya mitaji kama TIB na benki ya wakulima.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]8. Mikopo ya Kijamii - mfano tasafu
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]9. Serikali kuu - hii huwa inakuwa kama mikopo ya chuo ivi mfano mzuri ni ile mabilion ya JK
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]10. P2P, vikundi na Sacco's. Hii ni mikopo ya vikundi ambapo kunakuwa na utaratibu maalumu. kutegemeana na utajiri wa kikundi mikopo hii huanzia katik ya sh 30,000 had milioni 10. Utaratibu huwa watu 5 kwa mfano wanachangishana 10,000 kila wiki na kumpa mtu mmoja, na wiki nyingine anapewa mwingine nakadhalika.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]SACCOS zenyewe ni tofauti kidogo ambapo wanachama hununua hisa zao ndani ya chama na kisha baadaye kuchukua mkopo kutokana na masharti ya chama. Mfano kila mwanachama anaweza chukua mara 2 ya hisa zake na si zaidi.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT='Courier New', Courier, monospace]11.Simu,Mitandao ya simu nao siku hizi wanatoa mikopo mfano vodacom wanatoa hadi laki5 kupitia menu yao ya ~ MPAWA
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT='Courier New', Courier, monospace]Nitajaribu kuelezea baadhi ya vyanzo ambavyo mara nyingi sisi watanzania hufikiria labda havituhusu lakini ni vyanzo ambavyo kweli vinaweza kukupa mtaji na kuna baadhi tayari wameshakamta mtaji na wanafanaya biashara nzuri kabisa.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Mifano nayoweka HAPA Price Watch Afrique: TANZANIA: SOKO LA MITAJI lazima uifuatilie kama kweli unataka mtaji.
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, Courier, monospace]Ebu sasa zama ndani ili ujifunze baadhi ya vyanzo vya mitaji ambavyo vinaweza kukupa mtaji wa kuanzia milion 20 hadi bilion 1.