Natafuta mkopo wa haraka, milioni 6, kulipa kupitia mshahara wangu

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.

Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.

Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.

Natanguliza shukrani.
 
ha ha ha mtu anaelipwa take home milion 3.. hajui hata mikopo inakopeshwaga wapi?

mi najua smart people na majembe ndio wanalipwaga vizuri na waajiri kumbe hadi wasiojua mikopo inapokopeshwa??

kweli utapeli kipaji
 
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.

Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.

Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.

Natanguliza shukrani.

Sasa umetaja take home tu hapa bila kujua unafanyakazi wapi uweke na viambatanisho vinavyoonyesha unapofanyia kazi. Vinginevyo wala hukuwa na sababu ya kuweka digits za mshahara wako maana hiyo sio njia sahihi ya mtu kukuamini
 
Huo usaniii kwanini usumbuke kudaiwa riba,kwanini usijibane kila mwezi mmoja ule laki sita tu ya juu,halafu hizo milioni tatu mbili zitakuwa six million na hutodaiwa na MTU,au katika milioni Tatu na laki sita yako,kula laki sita yako halafu ongea na mwajiri wako akukopeshe next salary,taasisi zingine tunaita mid-months salary na kwakuwa ni mwajiri wako yeye atakuamini zaidi kwani hata hivyo atakuwa anakulipa mshahara wako ujao akijua anakusaidia Ila pia nae anakudhibiti uzidi kuwa katika taasisi yake.
 
anaelipwa mil 3.6 hawezi kua na mwandiko huu..

unless otherwise utuambie na kazi unayofanya...
 
Wewe sio tapeli wa daslaam, inaonekana ni tapeli wa mkoani. Afu inaonesha ni jinsi gani matapeli wa mkoani mmeishiwa mbinu kabisa! wenzenu wako digitali, nyie mumeng'ang'ania analogi mpaka leo! Mtakufa njaa mjini hapa!
 
Watu wengi humu mnaongozwa na ushabiki. Mi sijaona alichokosea hapo. Aseme anafanya wapi kazi au atamwambia yule atakayekuwa radhi kumkopesha?

Ni ujinga kudhani kuwa ukiwa unalipwa 3.6m basi huwezi kuwa na hitaji la kukopa 6m. Wafanyabiashara wakubwa kabisa wanakopa ije kuwa huyu mjasiriamali?

Kwanza uelewe kuwa yawezekana ana uhitaji wa haraka ambao hauwezi kusubiri miezi miwili ya kujichangisha. Asiyeelewa biashara hajui kuwa dili za kusupply vitu sehemu haziwezi kukusubiri.

Saa nyingine tuache ujinga na ushabiki, kumshambulia kila mtu kwa mtindo wa MOB ni utoto.
 
wewe unaomba kukopeshwa unahema haraka haraka namna hiyo nani atakayetoa fedha yake akupe,

Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.

Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.

Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.

Natanguliza shukrani.
 
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.

Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.

Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.

Natanguliza shukrani.

kama unalipwa m 3 na bado unataka kukopa m 6 utakuwa jipu inabid uende kwa mtumbua majipu.m 3 kwa miezi minne so ni mtaji tosha kabisa,halafu mbona hela zimejaa Benk nenda tu na SMG, hapana salary slip tu unapata hela nyingi tu
 
Watu wengi humu mnaongozwa na ushabiki. Mi sijaona alichokosea hapo. Aseme anafanya wapi kazi au atamwambia yule atakayekuwa radhi kumkopesha?

Ni ujinga kudhani kuwa ukiwa unalipwa 3.6m basi huwezi kuwa na hitaji la kukopa 6m. Wafanyabiashara wakubwa kabisa wanakopa ije kuwa huyu mjasiriamali?

Kwanza uelewe kuwa yawezekana ana uhitaji wa haraka ambao hauwezi kusubiri miezi miwili ya kujichangisha. Asiyeelewa biashara hajui kuwa dili za kusupply vitu sehemu haziwezi kukusubiri.

Saa nyingine tuache ujinga na ushabiki, kumshambulia kila mtu kwa mtindo wa MOB ni utoto.
Mzee wa kuacha na huwa hurembi nakukubali sana
 
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.

Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.

Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.

Natanguliza shukrani.
Dhamana???
 
Watu wengi humu mnaongozwa na ushabiki. Mi sijaona alichokosea hapo. Aseme anafanya wapi kazi au atamwambia yule atakayekuwa radhi kumkopesha?

Ni ujinga kudhani kuwa ukiwa unalipwa 3.6m basi huwezi kuwa na hitaji la kukopa 6m. Wafanyabiashara wakubwa kabisa wanakopa ije kuwa huyu mjasiriamali?

Kwanza uelewe kuwa yawezekana ana uhitaji wa haraka ambao hauwezi kusubiri miezi miwili ya kujichangisha. Asiyeelewa biashara hajui kuwa dili za kusupply vitu sehemu haziwezi kukusubiri.

Saa nyingine tuache ujinga na ushabiki, kumshambulia kila mtu kwa mtindo wa MOB ni utoto.
Pamoja na mambo mengi uliyosema kuwa sahihi, hilo la kwanza linazalisha maswali kwako. Kama atamwambia huyo aliye tayari kumkopesha, imekuwaje sisi wengine (ambao asilimia kubwa hatuko tayari kumkopesha) atutajie mshahara wake wa leo na hata wa mwezi January? Si angeongea details hizo na huyo atakayekuwa tayari kumkopesha? Kwa sababu zile zile alizotutajia mshahara wake wa sasa na unaotarajiwa, angetuambia na details nyingine kuhusiana na maisha yake ya kila siku.
 
Back
Top Bottom