CRDB Bank: What a terrible experience! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB Bank: What a terrible experience!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nkosikazi, Jun 6, 2012.

 1. nkosikazi

  nkosikazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  I am a CRDB bank customer and a businessman.

  I secured a contract worth sh 280m and approached CRDB for some financing and they asked for a collateral. I provided my house worth 320m as collateral. They approved the overdraft nine months later when the project had ellapsed and I had suffered a lot and sold some properties to get the financing I had needed. That was last year.

  This year I got a contract worth 400m and applied for an in increase on the meager overdraft of 50m they had earlier approved, but it took them 4 months to reject it!

  Just imagine: I have a project worth 400m on hand and a property worth 320m whose tittle deed they are holding and they can't approve a small working capital so that I can finish my project, pay them and move on!

  And I laughed a lot when I heard Kimei saying they got financing from AfDB and they will use it to finance people even without collateral! Gimme a break, Kimei!
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  What matters is not the value of collateral but the ability of the business to generate adequate cash flows for repayment of finances. Sub-prime crisis which heavily affected USA financial markets was a result of financial institutions relying on value of mortgages without looking at cash flows.

  The value of 320 million is just inflated number which can not be realized by way of sale.
   
 3. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  This is realy hopeless bank....apart from that they are thieves....
   
 4. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Wewe umeona leo? mdogo wangu aliweka fixed term deposit miaka ya 2000 mwanzoni, akasafiri, hakurudi kwa wakati, nashangaa ilipomature pesa yake badala ya kuiweka katika account yake after maturity, wakaiweka kwenye suspense sielewi kwanini, baada ya muda mdogo wangu anaenda kuulizia pesa yake IMELIWA NA MPAKA LEO NINAVOKWAMBIA TUMEHANGAIKA SANA TENA SANA ! PESA HAIJARUDI AMEAMUA KUMUACHIA MUNGU. NA NINA IMANI ATAMLIPIA KWA NJIA YEYOTE ILE. Ni pale Holland House, tumeenda kwa manager mpaka tumechoka! tena mwisho akawa anafoka , imagine ilikuwa mil 2 ya miaka 1999.
   
 5. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Sidhubutu wala sioti kudhubutu ku-deal na hao watu!...unless nichubue niwe MUHINDI au nibadilishe status niwe FISADI!
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Waizi hawa hamna kitu zaidi ya kujifanya wanatoa huduma nzuri kumbe uzushi mtupu angekuwa ni mwanasiasa wangekuhudumia fasta
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Mkomatembo, labda kuna kitu sijaelewa. kwa nini mmeamua kumuachia Mungu awatolee adhabu? Ina maana hakuna mahali popote ama namna yoyote mnayoweza kutumia sheria kupata haki yenu? kwa nini muachie hela yenu iende kwa Vibaka waliovaa sare kirahisi hivyo???
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mmenifungua macho lol!
  Nilitaka kufungua account ya co hapo,sasa nageukia upande mwingine.JF ni zaidi ya habari duuuuh.
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,228
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 10. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sometimes I wonder when I see Kimei and other bank CEOs boasting of huge profit. These banks are ruining customers, they dont take any risk, no innovations, zero customer care and professionalism, they just sit and keep hiking their fees and rates. But trust me, time will come unfair margins will shrink and customers will walk away to other banks.

  CRDB and other banks, you are very unfair to ur fellow TZ, ur contributing to the poverty of this national. Indeed our cries will not leave you safe unless you change your conduct, from junior officials to CEO, plse take heed of our lamentation.
   
 11. n

  nakuona Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mdau sisi huku Arusha tulishawakimbia...nasema sisi maana nilikuwa na wenzangu wapatao kama 20 hivi wote tulifunga akaunti zetu mkuu.

  Japo issues zetu zilikuwa tofauti lakini kubwa ilikuwa ni huduma mbovu za CRDB BANK- mfano hela inatumwa kutoka Ulaya inaingia baada ya siku 20 na ukiuliza nikama mtu anayeomba,unaambiwa njoo kesho,ukija kesho njoo kesho..Utazalisha saa ngapi?

  Hii benki ni bomu lingine ambalo litakuja lipuka. Inasikitisha sana!
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  You seem not to know the rules sir!!!
   
 13. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na mie nipo mbioni kuwakimbia hawa CRDB miyayusho kweli
   
 14. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Manager wa holland ndie yule mweupe mweupe? mdondoshe kabahasha ka khaki pale table kwake ... next day mambo yenu yatakuwa safi!!!!
   
 15. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  jamani hakuna benki nzuri ! kama ambavyo watu hawana huruma na wabongo wenzxao, kule south waliwapiga! wakatugonga wabongo kwa sababu wanateseka wakati wao wanahaki, nyie mnataka pakuwekea pesa wakati sisi pesa hatuna..Fikiria benk inaitwa ben mkap, itakuwa si wezi hiyo
   
 16. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chezea WACHAGA wewe!
  na bado wanata watoe Rais, MTAKOMA,na bado.
   
 17. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Huyo huyo kama kaburu fulani hivi, aisee alitusumbua njoo kesho kesho kutwa mwisho tena tukaona hatuwezi kushindana tukaachia ila INAUMA SANA!
   
 18. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Eh utaenda wapi? mdogo wangu alichoka nakwambia ! sasa hiyo kesi kuendesha si ingechukuwa miaka na kuiendesha ingepitiliza hata hiyo mil 2 , eh!
   
 19. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mbona hawa crdb nasikia ndio wanaotoa kamshahara kazur zaid kuliko vijibenk vingine alafu wana tabia chafu hvyo au ndio ki magamba magamba zaidi!
   
 20. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii ndiyo Bongo bro. Simply means brain!
   
Loading...