Habari wana JF,
Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi...
Jamani ndugu zangu wana jf nimekuwa nikijaribu kufuatilia biashara ya vileo al maarufu pombe Kali naona katika industry ya biashara inawapatia sana watu faida.
Mwenye ujuzi anisaidie maswali haya...
Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha...
Habari wakuu.
Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali...
Habari Wana JF naomba kuuliza nataka kufanya hio biashara ya faniture Arusha.
Mimi ni fundi sofa, bed sofa na pia niuzie magodoro. Naomba ushauri Wana Arusha inalipa uko
Habari Wana jf naomba kuuliza nataka kufanya io biashara ya kuuza ferniture Arusha Mimi ni fund sofa ,bed sofa na pia niuze magodoro.naomba ushauri Wana Arusha inalipa uko
Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku!
✅...
Habari za muda huu wana uchumi na wawekezaji.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa
📌...
Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili.
Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube)
Namna ya...
Wakuu wa kaya NAOMBA USHAURI JUU YA UCHIMBAJI WA DHAHABU
Kuna eneo nyeti Lina dhahabu nahitaji niwekeze
Anae jua process za UCHIMBAJI anipe info mbili tatu
Duh dundu duh, ee bana ee.......
Sasa wamekuja na Mama Yekuye anamtafuta mumewe kapotelea mjini masika tatu. Inavutia, inafurahisha na mwisho unajikuta unacheka peke yako!
Hivi nani huwa...
Nimepita madukani sasa hivi kununua sabuni ya unga ya kufulia. Baada ya soko huria viwanda vingi vya sabauni vilianzishwa baadhi ni Foma (Tanga), Tesa (IPP/Mengi), na Murzah.
Hivi karibuni...
kwa muda wa wiki wa wiki moja sasa, thamani ya shilingi ya tanzania imeshuka kwa kasi ya ajabu, mfano mwanzoni mwa mwezi huu ilikuwa exchange RATE KAMA HIVI $ TO SHILING 1138/=, LEO KWENYE BENKI...
Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa...
Kusajili jina la biashara Kuna hitaji taarifa muhimu ikiwemo;
1. Jina la Biashara
Hapa unatakiwa kuweka jina la biashara ambalo halifanani na jina lingine (Uzi wa siku ingine)
2. Anuani ya...
PEACHY VILLAGE COMPANY LTD
"To the people of Tanzania, the Government, the Bank of Tanzania, international rights and financial institutions, and all defenders of justice and transparency—
My name...
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni...
Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.