Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote. Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment...
8 Reactions
80 Replies
5K Views
Wanajukwa naomba mnisaidie kuhusu mkopo wa jiwezeshe uliotangazwa na stanbicbank wiki hii maana kila nikijitahidi kuitafuta huduma hiyo kwenye app yao siioni lakini walitangaza kuwa ipo mkopo...
2 Reactions
2 Replies
277 Views
Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Naomba kujua nikiwa na mtaji wa Tsh milion 1 siwezi kufungua duka la kuuza vifaa vya bomba naombeni ushauri
2 Reactions
0 Replies
663 Views
maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula.. nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana.. Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz. Karibu...
0 Reactions
4 Replies
339 Views
Kwa sasa ajira ni Changamoto nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo muhimu uwe na malengo tu Kwa wale ambao wanatamani kufanya biashara ya mtumba ninatoa ushauri...
2 Reactions
1 Replies
325 Views
Wakuu Tunatengeneza furniture aina zote Showcase za kujengea na zakuhamishika. Makabati ya kujengea na yakawaida. Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika. Pia tunatengeneza vibanda vya...
2 Reactions
6 Replies
555 Views
Habari zenu wakuuu. Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Kama mfanyabiashara, unataka watu wajue biashara yako ipo, inafanya nini, na kwa nini wanapaswa kukuchagua wewe badala ya wengine. Tatizo kubwa linalowakumba...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani...
4 Reactions
7 Replies
893 Views
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili,kwa muda nimekuwa nikifuatilia biashara hii ya mitumba haswa viatu na sasa nataka kuingia.Naomba mwenye ujuzi wa namna ya upatikanaji wake na bei kwa mabalo,vya...
1 Reactions
0 Replies
288 Views
Habarini wana JF, nitangulize shukrani za dhati kwenu wote. Nahitaji kuanza maisha yangu mjini Kahama. Natambua kuna wazoefu na wenyeji wanaoijua vizuri. Nina mtaji mdogo tu wa milioni moja. Je...
5 Reactions
91 Replies
28K Views
Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani...
12 Reactions
70 Replies
8K Views
Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania Kidogo angekuwepo yeye...
5 Reactions
8 Replies
636 Views
1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
1 Reactions
5 Replies
339 Views
Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business) Naamini unajua kwa nini ni muhimu kusajili biashara yako na faida unazoweza kupata baada ya kufanya hivyo. Usajili wa biashara ni...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
nkiangalia nyuma naona kama nlichelewa sana ila nakumbuka nlivochapwa sana 🤣
3 Reactions
13 Replies
639 Views
WhatsApp imekuwa moja ya sehemu muhimu zaidi ya kuuza bidhaa na huduma zako moja kwa moja kwa mteja. Wengi wanaitumia kwa mawasiliano ya kawaida, lakini wachache wanaitumia kuuza kwa mkakati. Hapa...
3 Reactions
3 Replies
505 Views
Back
Top Bottom