Why shiling is depreciating at alarming speed! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why shiling is depreciating at alarming speed!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwikimbi, Oct 22, 2008.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kwa muda wa wiki wa wiki moja sasa, thamani ya shilingi ya tanzania imeshuka kwa kasi ya ajabu, mfano mwanzoni mwa mwezi huu ilikuwa exchange RATE KAMA HIVI $ TO SHILING 1138/=, LEO KWENYE BENKI YA STANBIC MBEYA ILIKUWA ALMOST SHS 1300/= KWA DOLA!

  KUNA NINI? MBONA BEI YA MAFUTA IMESHUKA KWENYE SOKO LA KIMATAIFA, NI NINI KIMEIPATA SHILINGI? TUNAOMBA WACHUMI WATUSAIDIE, ISIJE IKAWA KUNA UFISADI FULANI UNAFANYIKA KUSHINIKIZA BEI YA PETROL IPANDE KWA KISINGIZIO CHA KUANGUKA KWA THAMANI YA SHILING
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I'm pulsed as well.

  1.00 USD = 1,295.99 TZS
  Two weeks ago was 1,156


  Uchaguzi Marekani una effect kwenye USD. Is this how it should affect our currency and not the other way round?
  .
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Because there is no production to supplement the ailing balance of trade, ingeshuka vibaya zaidi kama dollar isingekuwa inaporomoka nayo.Kinachotokea sasa hivi ni kuwa both shilingi na dola zinaporomoka, lakini shilingi inaporomoka zaidi.

  Kama huzalishi na kuuza mazao na huduma nchi za nje obviously hela yako itaporomoka.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Duh! hii currency nilishaisahau kama ipo....
   
 5. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2008
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Inawezekana watalii wamekataa kuja kutumia bongo na kufanya upungufu wa dollar kuwa mdogo.

  Au financial speculants wananunua dollar na kusababisha upungufu wa dollar na kufanya shillingi kushuka kwa thamani.

  Kuna sababu nyingi tu unaweza kuziweka.
   
 6. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kwa mara ya kwanza dola kufikia 1300 ni wakati wa ukame na mgao wa umeme mwaka 2006
   
 7. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  jana Dollar imegain dhidi ya Euro....

  LONDON, Oct 22 (Reuters) - The dollar soared to a two-year high against the euro and a basket of currencies on Wednesday as a worsening global economic outlook prompted more investors to liquidate risky assets in favour of the U.S. currency.

  The yen climbed to a 4-1/2-year high against the euro, with the low-yielding Japanese currency also benefitting from the exodus from risky assets after being dogged by carry trades for for years.
   
 8. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2008
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Credit crunch ya US pia ina sehemu yake kama external factor. Watalii wanapungua kwa sababu ya hali mbaya kiuchumi huko kwao. Marekani ndio wanakotoka watalii wengi zaidi. Tatizo hilo la US limesababisha pia matatizo ya kiuchumi nchi zingine za magharibi na hata Japan. China nayo haijasalimika. There is recorded slowdown in economic growth in China.

  Yote hayo yanasababisha sisi kutopata dollar ya kutosha, kwa sababu washirika wetu kibiashara wana mafua ya kiuchumi.

  Endogenic factors ni kwamba sisi hatuzalishi, bali tu wachuuzi wa bidhaa za nje. The speed of inflow of forex is slower, at 50km/hr; while the green buck flows out of the country at terrific speed of 200km/hr.

  NB: Msisahau inflation imefikia double digit ya 11+%. Price inflation is higher than that.
   
 9. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2008
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Ukiwa unapenda hela ata utu unakukosa. Yaani mawazo yangu ni shillingi iporomoke ili dollar yangu 50 iweze kufanya mambo mengi bongo. Nifanye nini nipate kuokoa.
   
 10. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Unajidanganya maana mambo ya bongo yanategemea imported commodities, hivyo shilingi ikitelemka kila kitu kitapanda kiasi kwamba hizo shilingi zako nyingi hazitakuwa na maana yoyote tena.
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mc Cain,
  You need to go home for a while.
   
 12. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Unafikiri huwa haendi???
   
 13. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2008
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Tatizo umeona imported commodities tu. Je wafanya kazi wa kitanzania si wanalipwa mishahara hilehile?
   
 14. K

  Koba JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ....victim sio shilingi tu mkuu ni across the board dollar gained strength,siku zote ujue World economy inapokwenda south watu wana dump stocks na commodities(oil,gold etc) na wanahamishia assets zao kwenye American dollars(wanahold na kununua dollar kwa sababu USD is considered safe na ukiona markets zimeanza kufanya vizuri ujue dollar ina lose na mafuta most of the time yanapanda bei,kuna uhusiano mkubwa sana kati ya World indexes,oil,gold and American dollar,just go educate yourself material yapo all over the net utajua jinsi uchumi wa dunia unavyo operate around hivyo vitu vinne!
   
 15. K

  Koba JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ..hana paper!
   
 16. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwi kwi kwi hao wafanyakazi wanaishi na kutumia vitu ambavyo shilingi ikianguka vitakuwa bei kubwa mno. Hawatakubali kuendelea na mishahara ile ile ya zamani. Pia lazima ujue kwenye production yoyote mishahara inachukua asilimia ndogo tu ya matumizi ya viwanda au biashara nyingine.

  Kwa theory yako basi Wazimbabwe wenye dola nje wanafaidi wakizituma kule kwao ambako shilingi yao imeanguka vibaya?

  Kushuka kwa pesa ya nchi kunakuwa na faida kubwa kama tu mnauza vitu vingi nje kuliko mnavyoagiza kwa maana ya kwamba vitu vyenu vitakuwa cheaper na hivyo ku attract wateja zaidi. Lakini hata hapo bado inflation inaweza kupanda na hivyo kuja na matatizo yake mengine.
   
 17. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ndugu nadhani tuna sahau,
  Kama myezi 5 iliyo pita shilingi yetu ilikuwa inaporomoka sana, wakulu wakakaa wakati ule wa 'air uchumi' wakaona wa pump inn money for political purposes ili ionekani uchumi unakua na shilingi yetu inaimarika, hata hivo kama sijasahau, Prof, Ndulu alisema kwamba hii ni temporal measure haiwezi kudumu, sasa jamani nadhani ile pesa iliyo mwagwa imefikia kikomo kwahiyo tunarudi kule tulipo kuwa unless wa pump zingine, vinginevyo nahofia kwa myezi miwili ijayo yaweza kufika hata 1500 kwa USD 1!
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Well understood
   
 19. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  malengo ya serikali ya Tanzania ni kuhakikisha SHilingi inazidi kushuka hadi wanawafikia Zimbabwe. ifikie mahala wtu wakapokee mshahara na ma'tranka ya watoto wao waliorudi form 4.

  inasikitisha sana
   
 20. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2008
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kinachotokea ni kuwa wafanyabiashara sasa wanaagiza mali kwa ajili ya sikukuu ya chrismas,hii ndio sababu ya kuporomoka kwa shilingi,yaani demand ya dollar kwa sasa ni kubwa.
   
Loading...