Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu!
2 Reactions
15 Replies
809 Views
Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, Naitwa Godfrey, nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa nikiwa na mtaji wa takriban milioni 3. Nipo Dar es Salaam (eneo la Tegeta na Mwenge) na nimekuwa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English. Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
1 Reactions
1 Replies
257 Views
Wakuu habari zenu, naomba niulize kitu. Ni wapi au bank gani naweza kukopa zaidi ya milion 2 bila dhamana na nikalipa kwa awamu? Kwa maana siyo kila siku au kila mwezi.
3 Reactions
11 Replies
847 Views
Air compressor Litre 300 Inatumia umeme na petrol Imetumika miezi minne tu. Ipo Dar es salaam-Goba. PRICE- Tsh 1.9million Karibu
1 Reactions
0 Replies
225 Views
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
2 Reactions
5 Replies
376 Views
Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..? 2000/= kwangu inanitosha kabisa.
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari ya uzima wana jamii forum Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa. 1. Mahitaji kiujumla 2. Faida na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaposema kuwa deni linaongezeka kwa shilingi elfu moja kila siku na hapo hapo tunaambiwa kuwa uchumi unaongezeka je kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka? Na je ili tuseme...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau...
21 Reactions
256 Replies
14K Views
Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila...
2 Reactions
6 Replies
576 Views
Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao. 1...
0 Reactions
6 Replies
621 Views
Habari wana JF naomba kujuzwa chimbo wanako uza bei nzuri kwa jumla jumla spea za baiskeli kwa Dar es Salaam mimi nipo mkoani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa kwenye jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, na nimeona kuna hamu kubwa ya kukuza biashara na kutafuta masoko mapya...
2 Reactions
2 Replies
387 Views
Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata; 1. Sababu za kubadili Jina la Biashara Either unafanya...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa 1.duka la nguo. 2.duka la kuuza vipodozi. 3.Mini pub. 4.Saloon. Huu ni...
11 Reactions
95 Replies
4K Views
Kwa wale Mawakala wa Mitandao ya simu wanaotumia Lipa Namba bilashaka watakuwa wamekumbana na kashkashi za matishio ya Mitandao ya simu kuhusu . Kwa sasa mawakala kwa asilimia kubwa wamekuwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom