Tangazo Lenye Mvuto; Sekta ya Mawasiliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo Lenye Mvuto; Sekta ya Mawasiliano

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Omutwale, Jun 30, 2009.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duh dundu duh, ee bana ee.......

  Sasa wamekuja na Mama Yekuye anamtafuta mumewe kapotelea mjini masika tatu. Inavutia, inafurahisha na mwisho unajikuta unacheka peke yako!

  Hivi nani huwa ana-tengeneza hadithi za za matangazo ya tiGO?

  Binafsi namwona kama SI Unit ya Telecomm Marketers Tanzania!
   
Loading...