Wadada wenye magari na vimini

linguistics

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,699
4,326
Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kautafiti kangu kasiko rasmi hasa nikiwa kwenye daladala au kagari kangu ka bei mbaya, nimeshuhudia wengi wa wadada /wamama (sio wote mnielewe) wakiwa wanaendesha vigari vyao huku mapaja yakiwa wazi tofauti na wadada/wamama wanaopanda daladala.

Mbona wanaume hawana mbwembwe za hivi? Yaani aibu huwa naona mimi hasa pale mdada anapokuwa na mapaja personal.

Sina picha naogopa TCRA.

Badilikeni banaa kisa upo kwenye kimkweche ndo utuanikie tupaja twako, aaagh!!
 
Anavaa nguo fupi sana akijua hana shughuli nyingi za kumuweka nje anajua point zake ni zipi akishuka mara moja anarudi kwene guta yake, tofauti na kwenye daladala lazima ujiulize utakaaje na unatumia public transport? Ila mtu yuko ndani ya gari na pengine amepiga tinted we unawaonaje au umesimliwa, haingii akilini acha umbea.
 
Back
Top Bottom