Karibu sana...Nipo safarini nakuja Dar kuwapa hi na utalii wa ndani Buguruni moja hiyo mwenyeji ajitokeze basi coz mi si mwenyeji sana katika hili jiji zaidi ya Mwanza
Umenikumbusha hili nilitaka nimuulize...mbona alipewa 7,800 akiwa Dar lkn leo ni mgeni?😂Wa 7800 ulisham'bwaga.??
Hatujasahau vituko vyako vya 7800Ndiyo kwani vipi?
Tunaweza kukutoa hapo ni utayari wako tu bugurun ni eneo la parkng ya malori na viwandaKituo cha kufikia ni hapo