embu tukumbushane filamu,tamthilia na tv programes za zamani mfano embu kumbuka hizi..........

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
Me zilizokuwa zinanikonga nyoyo ni THE BOLD AND THE BEAUTIFULLY wahusika kidogo nmewasahau!
THE PASSION wahusika ni bi.tabitha,cherry....
MR COOPER jaman hi comedy sintaisahau steling ni cooper mwenyewe yan nkikumbuka nataka ata nrewind lif it was wooow!
Endelezen wana....
 
michezo ya radio ya zamani, watu mnazunguka radio kuisikiliza.... aisee tumetoka mbaali
 
wewe utakuwa pwaguza iv kuna mtu alikuvuta shat uje usome au uchangie au nawe unataka tu usomeke aya tayar mind ur missions!

Taratibu labda anamaanisha michezo ya kipindi kile ya akina pwagu na pwaguzi...!!
 
Egoli "place of gold" Ilikuwa ITV ndio ikawa replaced na Isidingo!.
Kule South inaendelea mpaka kesho.
 
GENERATION ilikuwa inaoneshwa tbc1 enz hizo tvt imechezwa na wasauz ilikuwa matata!
 
TAUSI tamthilia ya kikenya walicheza kina sitti bint nan sijui mwala nk ikifika mwisho mtu ananata keh!
 
Nyingine ya kitanzania ni MAMBO HAYO kina b.shanga na kaptula yake dokii-huduma imesitishwa kwa muda!
Time hiyo tulikua 2naangalia kwa majiran j.mos marudio saa 10 mtaa kimya watu itv ila matangazo yalikua mengi wakirud kila mtu haya nyamazen bcs ni kama mkutano wa kijiji!
Tumetoka mbali sana jaman!
 
Back
Top Bottom