JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
7 Reactions
31 Replies
1K Views
GGADZZILA "kama hupati unachopenda penda unachopata" DIZASTA VINA "utairudia kawaida utagundua kuwa haukuwa malaika" WAZEE WANGU KIJIJINI "yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Kila mwaka ifikapo tarehe 17 July Duniani watu huweza kusherekea siku ya Emoji Duniani. Emoji ni ishara inayoelezea kwa Namna gani mtu anajisikia Kwa wakati huo. Emojis Kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Hivi, nimewaza, Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? :D :D :D :D
5 Reactions
32 Replies
918 Views
Ila kuna vitu vinachekesha sana🤣🤣
3 Reactions
2 Replies
323 Views
Kwema wakuu. KUNA MAMBO HUTOKEA maishani yanapelekea tutokwe machozi ya huzuni,furaha na hata hasira. Wengine huenda mbali sio tu kutokwa machozi, wao wanabubujikwa machozi wanalia haswa. Ajali...
14 Reactions
204 Replies
5K Views
Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia. Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Aristotle alifundisha zipo kazi za aina tano: ukulima, mifugo, ujambazi, uvuvi, na uwindaji. Anasema wakati mwingine kazi zinaweza kuunganishwa: kwa mfano kazi ya ukulima unaweza kuichanganya na...
1 Reactions
4 Replies
353 Views
Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima. We vitu gani vina umuhimu kwako?
2 Reactions
9 Replies
416 Views
Hivi ni mimi tu au? Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la bans. Watu wanalimwa ban shoto kulia. Na nyinyi mmeliona hilo? Halafu kuna mods wawili ambao ni wachemkaji sana ila mmoja...
5 Reactions
124 Replies
9K Views
Hell Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Moja ya ndoto ya mwanadamu ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio amani pia Pia sehemu ya kuishi au mkoa ni Moja ya ndoto ya watu wengi kutokana na fursa za eneo Hilo ikiwemo Bata nyingi, hali...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Tukifika Mbinguni kuna Maisha ya milele Milele ipoje? Yani siku haziishi tumezoea kuna Matukio gani yanatokea huko?
2 Reactions
7 Replies
234 Views
Happy Birthday to the one super lady! 🎉 You're the perfect mix of brilliance, strength, and fun. Keep being amazing, because you're simply unstoppable! Hongera sana financial services 🎂 🍾 🥂...
21 Reactions
137 Replies
4K Views
Haya tuchangamke wadau uzi tayari🤣
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa...
12 Reactions
67 Replies
2K Views
Happy birthday 🎉 to me.. Happy birthday to me mama mchungaji wa JF... Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine... NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai Swali: Je, wewe Ujana wako...
19 Reactions
49 Replies
1K Views
Genuine question, matusi sio uungwana. Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela. Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Back
Top Bottom