JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona...
40 Reactions
3K Replies
129K Views
Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi. Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu hili lina ukweli au ni porojo tu? mnatutia wasiwasi wanachama na wapenzi.. Kama ni kweli semaji atapanda nini sherehe ijayo? mbwa, fisi au? Je yanga hawawezi kuchukuliwa hatua kwenye hili...
7 Reactions
24 Replies
809 Views
Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja. Hapa nishapata sehemu ya uzinzii. Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane. Kama umewai kufanya huu upumbafu...
2 Reactions
15 Replies
928 Views
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie...
10 Reactions
124 Replies
3K Views
Humu Jamii forums kuna baadhi ya member michango yao ni adimu sana kiasi kwamba wakikosekana wanaacha pengo kubwa sana humu jukwaani. Michango yao kwa namna moja au nyingine husaidia kuleta...
1 Reactions
161 Replies
8K Views
Sasa hivi nikirudi shule nitasomea udaktari wa wanawake na kuwa mhadhiri. Yani hizo fani mbili ndio ndoto yangu. Kuwa daktari wa wanawake na mhadhiri. adriz
4 Reactions
12 Replies
391 Views
Jambo Jambo? Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana. Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa...
70 Reactions
340 Replies
15K Views
In 1987 the Kikuyu and the Luo communities decided to have a drinking competition. A week before the competition, Kikuyus sent Mwaniki wa Kamau to Kisumu to confirm if the competition will be...
2 Reactions
2 Replies
992 Views
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇. Kiranga Infropreneur Tanganian Robert Heriel...
38 Reactions
250 Replies
6K Views
Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Ilikuwa ni taarifa tu nisiwachoshe wapambanaji, endeleeni na Threads za msingi zenye mustakabali wa kulijenga taifa letu. Niwatakie jioni njema. dosho12 Harmful Mama Ndege Intelligent businessman
13 Reactions
91 Replies
2K Views
Wakuu hali zenu, Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri. Shukrani
0 Reactions
191 Replies
73K Views
DUNIA NA VIPINDI VYAKE, ILIPOANZIA, ILIPO NA INAPOELEKEA. SEHEMU YA PILI DUNIA NA MAHALI ILIPOANZIA BWANA alipomuumba Adamu alimweka kuwa mtawala na msimamizi wa dunia na viumbe vyote vyenye...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndio hivyo nina mwaka wa 5 sasa JF am going to be legend ,nakumbuza enzi naanza kuingia JF nilikua na energy ,misuli etc kila Avatar inayovutia ikigonga gonga like,kuni comment au ku quote nilikua...
13 Reactions
530 Replies
18K Views
CHEKA UNENEPE: watoto wengine hasara tupu. Mjukuu alimkuta bibi yake anaanika chupi. MJUKUU: Bibi, nini hicho unachoanika? BIBI: Kitambaa changu cha kufutia mikono. Mjukuu akaenda zake kucheza...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
USILETE UTANI KATIKA MAPENZI Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Mwanamke huyo akaamua...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimejaribu kuacha kuandika matukio mbali mbali ya maisha niliyopitia lakini nimeshindwa jamani. Sema na nyie wanajf mna matusi mnakera kweli badala mkae hapa msome viroja mnaanza tena kunishauri...
37 Reactions
754 Replies
67K Views
Ukweli leo nimekaa na kufikiria na kujiuliza hivi kwanini wanawake wanavaa chupi na je chupi ina kazi gani kwa mwanamkejibu likanishinda. Pia nikajiuliza kwa upande wa wanaume hivi kwanini wanaume...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Hivi wale jamaa walio ingiza sauti kwenye movie ya yesu wako wapi? mbona wajawa mastaa wakati walifanya poa sana[emoji29]
1 Reactions
2 Replies
223 Views
Back
Top Bottom