Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,014
- 6,771
Aristotle alifundisha zipo kazi za aina tano: ukulima, mifugo, ujambazi, uvuvi, na uwindaji.
Anasema wakati mwingine kazi zinaweza kuunganishwa: kwa mfano kazi ya ukulima unaweza kuichanganya na ujambazi.
Haya mambo nimeyaona katika maisha: vijana wanasukuma mkomkoteni asubuhi,usiku wanakaba watu ( wanakuwa vibaka)
Aristotle ndiyo baba wa siasa
Socrates baba wa falsafa.
Adam Smith baba wa capitalism.