Kila mwaka ifikapo tarehe 17 July Duniani watu huweza kusherekea siku ya Emoji Duniani. Emoji ni ishara inayoelezea kwa Namna gani mtu anajisikia Kwa wakati huo.
Emojis Kwa mara ya kwanza...
Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? :D :D :D :D
Kwema wakuu.
KUNA MAMBO HUTOKEA maishani yanapelekea tutokwe machozi ya huzuni,furaha na hata hasira.
Wengine huenda mbali sio tu kutokwa machozi, wao wanabubujikwa machozi wanalia haswa. Ajali...
Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia.
Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho...
Aristotle alifundisha zipo kazi za aina tano: ukulima, mifugo, ujambazi, uvuvi, na uwindaji.
Anasema wakati mwingine kazi zinaweza kuunganishwa: kwa mfano kazi ya ukulima unaweza kuichanganya na...
Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima.
We vitu gani vina umuhimu kwako?
Hivi ni mimi tu au? Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la bans. Watu wanalimwa ban shoto kulia.
Na nyinyi mmeliona hilo?
Halafu kuna mods wawili ambao ni wachemkaji sana ila mmoja...
Hell
Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti
Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia...
Moja ya ndoto ya mwanadamu ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio amani pia
Pia sehemu ya kuishi au mkoa ni Moja ya ndoto ya watu wengi kutokana na fursa za eneo Hilo ikiwemo Bata nyingi, hali...
Happy Birthday to the one super lady!
🎉 You're the perfect mix of brilliance, strength, and fun. Keep being amazing, because you're simply unstoppable!
Hongera sana financial services 🎂 🍾 🥂...
Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw
Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi.
Tunajuwa...
Happy birthday 🎉 to me..
Happy birthday to me mama mchungaji wa JF...
Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine...
NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai
Swali: Je, wewe Ujana wako...
Kama umeniroga awee
Siambiwi kwawee
Overdose me
Your love dey overdose me
Paa pee pii papapuu
Your love dey overdose me
paa pee pii papapuu
Overdose
Joanah usiuchoshee huu moyo
Joanah upoze huu...
Genuine question, matusi sio uungwana.
Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela.
Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua...
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂
Pale Hyatt ni hoteli lakin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.