Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: :mad::confused: 😠 👿
Watu wengine huonyesha chuki yao kimya...
Hivi imetokea siku ya harusi yako mpenzi
wako wa zamani akaja kushuhudia harusi
yako alafu ukapewa nafasi umchagulie
nyimbo utamchagulia nyimbo gani?
Ukizingatia watu kibao wapo eneo la...
Wakuu,
Nimepata hamu sana ya kuikumbuka shule niliyosoma O Level na kumaliza mwaka 1993 Form Four. Hebu kama kuna mtu alisoma kipindi hicho tubadilishane mawazo; wakati huo Mkuu wa Shule...
Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote...
Haya sasa,
Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku.
Changamoto ya kuishi kwnye familia ya...
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?
Nyimbo unazozisikiliza on...
Habari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Hobbies nazopenda
Kusikiliza muziki...
To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock.
To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my...
Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
Moja kati ya Game Kali sana ya kucheza kupitia simu au kompyuta yako basi ni hii the Walking Dead season 1, 2,3 na 4. Ni game nzuri yenye msisimko wa kipekee utakao kufanya ukicheza unafurahi...
Good morng
Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi
Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku...
Huku si watoto,si watu wazima wengi wanaishi na VVU tena zile advanced stages (stage 3-4)
Ogopa unaenda hospitali unakuta top ten diseases miongoni mwao ni HIV.
GGADZZILA "kama hupati unachopenda penda unachopata"
DIZASTA VINA "utairudia kawaida utagundua kuwa haukuwa malaika"
WAZEE WANGU KIJIJINI "yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine...
Kila mwaka ifikapo tarehe 17 July Duniani watu huweza kusherekea siku ya Emoji Duniani. Emoji ni ishara inayoelezea kwa Namna gani mtu anajisikia Kwa wakati huo.
Emojis Kwa mara ya kwanza...
Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? :D :D :D :D
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.