JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu habari zenu? Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza. Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja...
7 Reactions
7 Replies
428 Views
Na Mimi nimeamua kuja na challenge yangu...
3 Reactions
6 Replies
325 Views
Habari wadau, ndugu, jamaa na marafiki. Je weekend yako inaendaje, share nasi kidogo Weekend yangu kiukweli imeanza vizuri na taratibu, nimeanza kwa kwenda kutembelea kidogo miradi yangu, ambayo...
2 Reactions
5 Replies
421 Views
Wewe mzi...fu nakuchana leo, ukienda lodge uache kusema show time bei gani. Ni short time
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wassalaam. Happy birthday my lovely sister🥰 Allah akulinde,uishi kipenzi🥰
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Nimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu. Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
2 Reactions
15 Replies
833 Views
Mwenye anajua jamani anaweza nisaidia namba ya simu au kunielekeza
5 Reactions
20 Replies
644 Views
Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa...
10 Reactions
70 Replies
2K Views
Hello, Siku ya Alhamis tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2016 nikifanikiwa kujiunga na mtandao huu baada ya kuwa mtumiaji mgeni kwa muda wa miaka mingi. Japo ni mika 3 tu niko kama member rasmi...
24 Reactions
145 Replies
8K Views
Wanaume wenzangu muwe mnaenda kuchunguliamo mara Moja Moja Msije sema sijawaambia. Ukishawekwa hapa..ni mwendo wa sawa waifu wangu..ndio ndio..nakutumia waifu ...Ile nyumba ntaiuza tu hela zote...
3 Reactions
6 Replies
534 Views
Hapo zamani za kale, Wahehe na Wabena waliandaa mashindano ya unywaji wa pombe kali. Wiki moja kabla ya mashindano, Wabena waliamua kutuma wajumbe wao kwenda kwa Wahehe kuthibitisha kama kila...
19 Reactions
25 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi. Huyu...
35 Reactions
104 Replies
6K Views
Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata...
3 Reactions
12 Replies
662 Views
Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva. Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi...
0 Reactions
6 Replies
374 Views
Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi...
1 Reactions
15 Replies
727 Views
Tajiri hasalimii. Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo...
19 Reactions
107 Replies
4K Views
Wakuu salamu. Kwa muda wa zaidi ya miaka saba sasa nimekuwa nikisumbuliwa na mauzauza mwilini. Najisikia vitu vinatembeatembea mwilini na mwili unawaka moto, pengine kama vichomi na hivi...
2 Reactions
14 Replies
581 Views
Tunaanza na mimi MEKATANOKATOKA Haya twende kazi....lazima tukutane na matusi...
13 Reactions
90 Replies
2K Views
Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu...
3 Reactions
6 Replies
401 Views
Hata sijui nisemeje mnielewe.
20 Reactions
385 Replies
12K Views
Back
Top Bottom