Kati ya kubeti na mapenzi ipi ina faida?

Kati ya kubeti na mapenzi ipi ina faida?

Hahahaha ya ngap mkuu?
Leo home nilikua na wagenii imepikwa pilau moja MATATA ..

Ndio natoka sindikiza wageni kula sana piga sana story aiseee sio mchezo brother 😁

Now ndio nipo chumbani hapa nimeacha wageni wa kike ndugu za wife nikasema ngoja niingie chumbani sijui nichepuke nikaongezea kidogo naona gejii inapungua
 
Mapenzi ni dhana pana sana.
Unajua kwamba unaweza ukapenda kubeti pia?
Hivyo ukajikuta unafanya vyote.
 
Vyote ni uwekezaji au kamari, inategemea nani kawekwa kwenye angle ipi.

Kwa wanawake wengi mapenzi ni investment.
Kwa wanaume wengi betting ni investment.
 
Back
Top Bottom