Habari
"JE, WAJUA KITANDA KINA KAZI MBILI?"
Hujui eeh ! Twende hizi hapa !
1. SLEEPING ...... KITANDA ni kwaajili ya KULALA , KUMBUKA kitanda sio sehemu ya kuwazia maisha yako(kama kuna kitu...
Hakuna daftari linakuwa na taarifa za uongo kama lile la lodge au guest. Wahuni bhana huwa pia waongo waongo.
Mtu anaandika katoka Bunda kumbe katoka Bunju yupo Sinza lodge.
Hakuna kitu kinakela kama kuulizwa utaoa lini?Kila mtu ana maisha yake sisi mabachela hatupendi usumbufu tuna penda Uhuru sasa unaoa halafu unaulizwa huko wapi unafanya nini saivi hupo na nani...
Walikuwa wananata sana kama vile wazazi wao wanamiliki dunia. Bila shaka mtakuwa ni wajumbe wa bodi ya michezo ya kubahatisha au wakurugenzi wa Kampuni za kubeti.
Nasikia kuna hii kitu huzungumzwa sana na watu hasa wanaume je ni kweli ukikuta ndizi kwenye geto la mwanamke usiile? Na kwa nini?
Wajuzi wa mambo nifumbueni.
Nipo Kibishara zaidi, ninao mabinti waliofunzwa kufanya kazi hiyo ili kujiajiri na kujiongezea kipato.
Wale wanaofikiria kungonoka wasipoteze muda wao kuni-PM~~~ Huduma hiyo haipo
Niaje Wadau, kwa wajuzi wa mambo haya ya ki rastafari naulizia ishu moja, ishu yenyewe ni kuhusu Leseni (Nasikia ipo) ya urastafarian yaani hata ikitokea ishu ama la kutokea huwezi kunyolewa...
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi...
Jiamini kama Mmeru, tafuta hela kama Mrombo, tunza hela kama Mpare, kuwa brand kama Mmasai, ongea na wateja kichangamfu kama Mzaramo, usiendekeze sana undugu kama Mrangi,
Kuwa na network zenye...
Ndoto hii ilianza kunitokea mwanzoni mwa mwezi wa nne lakini mpaka sasa imefikia mahali ambapo hata mimi inanipa wakati mgumu kuamini kile kinacho endelea.
Kwa mara ya kwanza niliota kuwa...
Huenda ni kawa sawa ama la ila tutashea idea pamoja hawa ni viumbe wawili tofauti ebu ona sifa hizi
VIMBAUMBAU
(a)Ni wakorofi hatari
(b)Wana fitina kama ngedere
(c)Wasafi kupindukia
(d) Hawaoni...
Naona video ya ghwajima imeadimika sana hapa town haaa .. watu wanaitafuta kila kona na hawajaipata.
Ila kwa uhakika Kakobe anayo japo bado anaiangalia apate uhakika. na ghwajima mwenyewe pia...
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar[emoji85]
2. Unaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.