Uzi maalumu wa vyakula vya mkoa wa kigoma (Dagaa na migebuka)

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,367
2,000
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi kavu..
Haka kauzi ni maalumu kwa ajili ya kuonyesha chukala asilia cha watu wa kigoma.
KARIBUNI KIGOMA


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 

buhoro ksl

Senior Member
Apr 17, 2019
134
250
Aisee nipo Arusha, nimeona nyumbani kumenoga.🤗🤗🤗

Kigoma itabaki kuwa juuuuu, vp mbaazi.magimbi/mahole,karanga hamjaanza kuvuna?
 
Top Bottom