Ufafanuzi kuhusu wanaume wa Dar

Ufafanuzi kuhusu wanaume wa Dar

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,086
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-

1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar[emoji85]
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar[emoji32]
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji12]
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar[emoji4][emoji4]
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol [emoji3][emoji3] wewe ni wa Jiji la Makonda[emoji3][emoji3]
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi[emoji15]
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji35][emoji35]
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji41][emoji41]
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji850][emoji4]

Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani[emoji35]
 
Na ww kuweka vipicha hvyo ambavyo hupendelea wadada bila shaka na ww ni mwanaume wa dar.
 
"We ni mwanaume na unaishi dar we ni mwanaume wa dar"......naona hii maana mnajaribu kuifuta
 
11. Uko JF halafu unawahi kukoment wa kwanza halafu unaandika nawahi siti wewe ni mwanaume wa Dar tena manzese kwa mfuga Mbwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah...Cha ajabu Dada zenu wakitia timu Dar.... wanalia kwa kuchelewa kuja....kwa mioto na mapochopocho wanayopewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wanaume wa Dar wametapakaa Tz nzima, ila 8 na 9 ni noma sana 😀
 
Back
Top Bottom