Jikubali

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
Jiamini kama Mmeru, tafuta hela kama Mrombo, tunza hela kama Mpare, kuwa brand kama Mmasai, ongea na wateja kichangamfu kama Mzaramo, usiendekeze sana undugu kama Mrangi,
Kuwa na network zenye mana kama Mkinga, kuwa mkarimu kama Wanyamwezi, jenga biashara yenye mvuto kama Mmbulu, amuwa kwa busara kama Mzanaki, kufuatilia Mambo ya Shule ya watoto Kama Wahaya, alafu ongeza akili nyingi kama Mmarangu, usiendekeze mapenzi kama Msambaa na ukiishi kwa imani kama Mnyakyusa.

#Jikubali!!!
 
Back
Top Bottom