Ndoto ya ajabuu thana

Mallata Jr.

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Messages
353
Points
225
Mallata Jr.

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2014
353 225
Ndoto hii ilianza kunitokea mwanzoni mwa mwezi wa nne lakini mpaka sasa imefikia mahali ambapo hata mimi inanipa wakati mgumu kuamini kile kinacho endelea.

Kwa mara ya kwanza niliota kuwa binti mmoja mzuri sana mwenye urefu wa wastani, na umbo ambalo kiukweli kila mwanaume lijali angemkodolea mimacho na hata kujisemesha semesha ilimradi ampate alikuwa akinitaka niwe mpenzi wake.

Cha kushangaza alinifanya nimpende zaidi kwa jinsi alivyokuwa na nywele ndefu zilizogota vilivyo mgongoni mwake.

Kwa mara ya kwanza alinijia na kuanza kuongea nami mazungumzo yaliyochukua muda mrefu na baadae tukaamua kuwa wapenzi.

Siku ya pili nikashangaa kuona kumbe haikuwa kweli na ilikuwa ni ndoto, jioni yake nikawahi kulala ili aje tena ndotoni na anikute nimeshapitiwa na usingizi mzito...

"Jamani kuna ndoto huwa ni nzuri ati"

Kweli alikuja na bila kungoja tukaanza kazi mmh alikuwa safi siku ya pili kuamka nikaona nimejichafua vya kutosha nikachukia na kusema ndoto mbaya, nikamsimulia jamaa yangu akaniambia Fuledi wewe usijali labda ni kwa kuwa ulichoka na mwili ulikuwa ukipunguza mastreessss. Nikakubalina nae.

Siku wiki chache baadae alinitokea na nakumbuka nilimvua pichu na kuiweka chini ya mto na kazi ikaanza kwa ustadi wa hali ya juu na safari hii nami nikawa mkali kweli kweli.

Asubuhi yake sikuamini baada ya kuamka naona kweli ile chupi iko chini ya mto kama nilivyoota nikiiweka chini ya mto jana yake usiku..

Nikiwa bado nimejawa na woga na kigugumizi na niko njiani kwenda kumsimulia rafiki yangu ghafla mbele yangu naona binti yuleyule ambaye nimekuwa nikimwona ndotoni na ambaye ameniachia chupi yake akiwa mbele yangu.

Nikamkimbilia na kabla sija...........................................................................................................................................

Kama wataka kujua nini kilitokea andika neno ntumie PM nami nakutumia full story
 
M

mkagulu original

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Messages
706
Points
225
M

mkagulu original

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2013
706 225
ujinga tu!
 
A

Alex.

New Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
1
Points
20
A

Alex.

New Member
Joined Jan 1, 2014
1 20

Ntumie PM
 
B

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
817
Points
195
B

bunited

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
817 195
hata mtu akikupm itakuwa ni ndoto mana kila ki2 kwako ni ndoto.subiri mpk uache kuota ndo tutakupm
 
B

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
817
Points
195
B

bunited

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
817 195
tumeshajua kilichoendelea so hakuna haja ya pm kwa sababu,ulipomuona kabla hujamkimbilia kumbe nayo ilikuwa ndoto.poleeeeeeeeeeee
 
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
4,805
Points
2,000
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
4,805 2,000
Thana ndio wapi?
 
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,660
Points
2,000
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,660 2,000
peleka ujinga wako fecibuku
 
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Messages
3,300
Points
2,000
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined May 11, 2012
3,300 2,000
utaota nkiwa nakupm(nakupiga mavi)
 
CleverKING

CleverKING

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
8,542
Points
2,000
CleverKING

CleverKING

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
8,542 2,000
Baada ya kushtuka ndotoni ndio ukakumbuka siku hiyo haukulala Nyumbani
Ulilala kwa Mchepuko!!
 
Mallata Jr.

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Messages
353
Points
225
Mallata Jr.

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2014
353 225
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Forum statistics

Threads 1,307,003
Members 502,311
Posts 31,598,953
Top