Natamani sana zali la Coronavirus linipate

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,461
2,000
Mzuka wanajamvi

Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu inaimarika.

Kutokana na kujaliwa na perfect genes na strong body immune system niliorithi kwa mababu zangu Neanderthals sitaki kubweteka ndio maana natamani zali la Coronavirus linipate, hili nifanye tafiti ya body system yangu je inaweza kuimili hii mikikimikiki ya Magonjwa hatarii ikiwemo Ebola?

Pia licha ya iyo yote nikuacha Legacy. Yani Corona Virus imetrend kwenye current affairs news na kucover almost all headlines and breaking news, yani inipite hivihivi kizembe bila kuipata? Maamaee HAIWEZEKANI!

Maexperience, fursa na zali kama haya niyakuyachangamkia maadam yanapokua hot trending na kuacha alama ya kudumu katika historia.

Mwanaume hutakiwi kuwa muoga unatakiwa kuwa risktaker. Magonjwa ambayo siyo ya kutamani ni yale tu yanoyaathiri nguvu za kiume tu.

Huku kula nyama na supu ya popo kila siku nimeona imeshindikana. Sasa ni kwenda Wuhan China kwa lazima kuifwata. Hamna namna!
 

T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,113
2,000
Jaribu kwanza Hepatitis B virus tuone kwanza ndipo tuhamie kwenye Corona.

Ukiwa tayari nicheki PM nikuletee ulipo.

#Bagwell
 
Top Bottom