JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu kama unajua hotel au Lodge nzuri sana yenye vitanda virefu kuelekea juu tafadhali nijuze. Na jambo langu makini sana na mrembo mmoja hivi toka Rock city. Kiwe na urefu angalau wa futi 3.7...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp, Nawapa mbinu mpya za group letu Mfano maneno 9D Kutembelea...
4 Reactions
18 Replies
602 Views
Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi...
2 Reactions
9 Replies
384 Views
Red black dosho12 Light Saber Imetosha Sasa hamis77 Natumaini u are all alright friends๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ
7 Reactions
25 Replies
684 Views
Steve nyenyenyee, mbasho, mwinja yule dogo rais wa vyuo tume miss zile press zenu hasa steve,,, tupe ata press moja tivu akeee....
0 Reactions
7 Replies
402 Views
Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„ Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
5 Reactions
16 Replies
968 Views
Ni miongoni mwa nyuzi zinatrendi sana ila sijabahatika kuufungua. Wajuzi nambieni kuna nini umo ndani?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ•Š๏ธ I am not well, guys, i know you are too
2 Reactions
8 Replies
306 Views
Bonge moja la Series hapo mjini Netflix, kama hujaiona kaiangalie utajifunza mengi.
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu... Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja Kwa anayejua alipo Bibi yenu...
1 Reactions
16 Replies
718 Views
Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja. Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu? โ€จโ€จ Mstari gani wa...
9 Reactions
251 Replies
5K Views
Oktoba 29 imekukuta macho bado upo JF na online. Sababu gani imekufanya hujalala mpaka sasa hivi?
4 Reactions
98 Replies
2K Views
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ndugu yetu,dadaa yetu 'Valentina' ni mgonjwa hivyo kama wanajamii wa CC na MMU tunaombwa kumkumbuka katika maombi Mungu amrejeshee afya njema. Mungu akushushie...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators. Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF. Vipi wenzangu mnamiss nini?
12 Reactions
393 Replies
6K Views
Jitokeze tupate amani ya moyo kipenzi. Ni Imani upo salama.
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana. 1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji...
4 Reactions
7 Replies
396 Views
Kwa shida sana nimeingia jamvini! Any updates????
1 Reactions
17 Replies
488 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ