JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Leo kwenye pitapita zangu za kufukuzia shiling mjini, nikakutana na jamaa yangu mmoja wa kitambo hivi, Akawa amenipatia dili la maana na kushitua moyo kidogo. Hivyo raha kunizidi moyoni...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Hii kitu hakiwezekani kabisa mimi nakudai billions of money ila unanishikia Bastola eti kisa wewe ni deep state hii kitu hajiwezekani na bila shaka ya muhusika upo humu na unaisoma hii thread kile...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Watoto wa siku hizi wanadeka sana. Enzi hizo unaweza ukala fimbo za kutosha shuleni na wala hakuna noma. Mimi shule fimbo ilikuwa ni torati. Hebu toa ushuhuda ni kiasi gani cha fimbo uliwahi...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
14 Reactions
23 Replies
1K Views
Inakutangazia kozi zifuatazo:- 1-Wizi wa kura, 2-Kutumia vyeti feki, 3-Kulipa mishahara hewa, 4-Kuanzisha makampuni feki. Chuo kitakupeleka field EPA, BOT, JWTZ, IKULU na utaajiriwa na makampuni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey! Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa...
26 Reactions
304 Replies
7K Views
Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu. Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima...
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Hey guys, siku kama ya leo ni siku ambayo mimi nilizaliwa hivyo sina budi kuifurahia. Happy birthday to me 🎂😝🎂
14 Reactions
85 Replies
1K Views
Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi. Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa...
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Video hii ikimuonyesha kijana mmoja akiwa yupo kituo cha mafuta baada ya kuwekewa mafuta hakulipa pesa na akatimbua mbio. adriz
0 Reactions
5 Replies
270 Views
Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku? Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Mimi kuna bar hapo Tabata wamenipa jina la king mswati.Hilo jina walinipa kwa sababu ya kila bar maid anaekuja lazima nipite naye, Wadau wakaamua kuniita king mswati. Wewe je mdau, maeneo yako ya...
2 Reactions
13 Replies
616 Views
Mimi ya kwangu ikivunjika kioo naenda kubadilisha Leo Leo maana kioo chake hakizidi 30 dukani
4 Reactions
17 Replies
589 Views
Leo jioni nikiwa natoka kwenye harakati za mtu mweusi njiani kuna mama alikua anauza maharage mabichi yaliyomenywa, nikasema ngoja nisapoti family business kwani mama yangu kule kijijini anafanya...
2 Reactions
2 Replies
170 Views
Back
Top Bottom