Watu wa nyota ya Gemini au Mapacha kwa kimatumbi ni waliozaliwa kati ya Mei 20 ........Juni 21.
Watu wa nyota ya mapacha huwa na tabia na sifa zinazo fanana, baadhi ya...
Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya...
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.
Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana...
Jamani, watumiaji wa Internet, naombeni mnijuze kampuni inayojitahidi.
Airtel na modem zao sasa ni kichefuchefu.
Hela unalipa, lakini huduma yao mbovu.
Customer care yao, wana majibu ya ovyo...
Nimemuona mtangazaji mmoja anasema “ni bora kufagia sakafu za mbinguni kuliko kusimamia korido za kuzimu” ikiwa ni ujumbe maalum kwa vijana na wote wanaotaka kuiona Tanzania mpya.
Tubadilishane...
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli
maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe
Iko ivi nilikopa laki...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert...
Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali!
Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania.
Hapa tunawakumbuka watangazaji...
Salaam wanamageuzi, ndio ninyi ni wanamageuzi!! Kama nilivyoahidi kwenye thread ya jamaa mmoja hivi, kwamba nitaleta vichekesho vya maandishi ili tusogeze muda kuelekea october 29, tutakapokiwasha...
Masika hii mke wako yupo busy na vikoba na Tamthilia za Azam😆
Wanawake wenye akili wapo shambani
“Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani....Huangalia...