Wanawake mnawezaje kuangalia video za Oktoba 29?

Wanawake mnawezaje kuangalia video za Oktoba 29?

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Ninajua kwa wanawake hata kuangalia filamu za action ni hawataki sasa mnawezaje kuangalia video za waliopoteza maisha kwenye maandamano?

Mnawezaje, ninyi wadada?

Kuna mmoja, nilimkuta mmoja kwenye daladala yuko busy kuangalia hizo video, hampati trauma au huwa mnatuektia wakati mnaangalia?
 
Back
Top Bottom