Ndugu zangu wanasimba wanaaibisha Taifa

Ndugu zangu wanasimba wanaaibisha Taifa

No masuala ya msimu huwezi kuwa bora muda wote.

Najua wamezoea kufika robo lakini sioni wakifika hapo ,klabu nyingi kwasasa zinawekeza hakuna janja janja kununua wachezaji wa bei rahisi.

Kwa stahili hii bado yanga ataendeleq kuwa mbabe kila Derby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom