ko waarabu sio jamii wala Taifa? au ni aliens?Nashukuru sijala chakula cha krismass.
Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea.
“Mtu yeyote anayeiga taifa fulani au kundi fulani, yeye ni miongoni mwao.”
(Sahih al-Bukhari, Sahih Muslim)
Kuna ushirikina zaidi ya ule wa Babu Mudy kubaka kitoto cha miaka 6?Haifai kushiriki katika sherehe za kishirikina
Wakristo wanakula nyama zilizo chinjwa kiislamu wakati ni haramu kula mnyama aliye chinywa kwa majina ya miungu mingineNashukuru sijala chakula cha krismass.
Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea.
“Mtu yeyote anayeiga taifa fulani au kundi fulani, yeye ni miongoni mwao.”
(Sahih al-Bukhari, Sahih Muslim)
Ni wapi huko wanakogawa vyakula siku ya idi na mimi niwe nasogea maeneo hayo?Mbona eid mnatugawia au sio kosa?
Wala hakuna udini ni baadhi ya walokole wachache na wamiliki sijda wachache kwenye paji la uso kama taa za toyoNchi imejaa udini hii
Humu Jf inaongoza Kwa udini
Kwa hiyo hamuendi tena kwenye Misiba na sherehe za ndoa za Wagalatia??Nashukuru sijala chakula cha krismass.
Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea.
“Mtu yeyote anayeiga taifa fulani au kundi fulani, yeye ni miongoni mwao.”
(Sahih al-Bukhari, Sahih Muslim)
Hahaha 😂🤣 duh.Wala hakuna udini ni baadhi ya walokole wachache na wamiliki sijda wachache kwenye paji la uso kama taa za toyo
Sidhani ni majivuno tu yakutaka Kuona Mambo Yao ni sahihi zaidi kuliko ya waleHahaha 😂🤣 duh.
Nilichogundua ni kuwa mleta mada ameumia sana kutokualikwa jana.
Kuna msimu waislamu wanakula vizuri kweli vyakula vinakuwa vingi wanawapa majirani kama sio eid basi nimekosea jinaNi wapi huko wanakogawa vyakula siku ya idi na mimi niwe nasogea maeneo hayo?
Hahaha kwahiyo sisi washirikina au sio mwamba?Haifai kushiriki katika sherehe za kishirikina
Wapuuzi kweli. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasugua paji lake la uso kwa jiwe ili sijda yake ionekane wazi naye atambe.Sidhani ni majivuno tu yakutaka Kuona Mambo Yao ni sahihi zaidi kuliko ya wale
Quran inasema tofauti na bukhari,na Quran ndiyo yenye uislamNashukuru sijala chakula cha krismass.
Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea.
“Mtu yeyote anayeiga taifa fulani au kundi fulani, yeye ni miongoni mwao.”
(Sahih al-Bukhari, Sahih Muslim)