Salaam wanajamvi,
Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani?
Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa...
Pale umeenda Kanisa geni na mumeo alafu Mtumishi amuite mbele bila kujua ni Mumeo alafu ghafla anasema kijana nakuona ukioa mwaka huu tena utamuoa mzungu
Dada Utafanyaje ? 😁😁😁😁😁😁😁😁
Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse.
Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
Haya maradhi yalitutesa mno kipindi tunasoma secondary
Hadi Leo sijui ulitokana na Nini?
Huo muwasho wake hata kaswende na U T I Sugu hazifiku hata nusu 😃
Hahahaa! Inauma ila tamu. Mimi ni driller by profession so hii nchi nimezurura mno Alhamdulilah, kote nilipozurura napanyooshea mikono Moro Town.
Siku hiyo nakula gambe mitaa flani jirani na...
Wakuu,
Mnapoenda kwenye 5 star hotels na mnakutana na mabomba ya aina hii huwa mnafanyaje wakuu
Binafsi huwa na-pause kwanza naangalia wengine wanafanyaje
Asee motivesheni sipika muache ujuaji. Michongo ya kukusanya watu na kuongea ushubwada! Miksa udadambu na uleta manyago kuna siku wananchi wemye hasira kali watawashangaza.
Mtu anakusanya watu...
Bwana Yesu asifiwe...…...
Asalam aleykum.......
Wakuu katika tafiti zangu nimegundua kuna uhaba mkubwa wa magroup ya wasap ya maafisa utamu/utelezi ukilinganisha na miaka ya nyuma
Hivi tatzo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.