Leo Feb 1, tunauanza rasmi huu mwaka, January tuifute tu maana ……………..
Niliowapotea ghafla huko maeneo mengine, miniwie radhi, misiba na changamoto za maisha zilnichanganya kidogo.
Nipeni...
KUna wadada unaweza dhahania ni warembo, pisi ila mtaani ni wakawaida sana.
Pia unaweza kufikiria ni wa kawaida ila
Kumbe ni pisi sana.
Mara nyingi ni mtu tuu unajikuta unaivutia picha fulani ID...
Asee dunia kubwa,
Narudia tena wazee dunia kubwa sana. Leo nimelitoa out jimama la kizungu nililolipata miezi kadhaa nyuma huku nikilipelekea moto kila siku mana halina period. Age went...
Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi...
Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi...
Hello!, JamiiForums members.
Nowdays, members wengi wa JamiiForums wamekuwa wakipost mambo ya siasa ambayo hayana mchango mkubwa katika maisha yetu so nilikuwa naomba tu-focus pia na majukwaa mengine.
1. Wewe mwanamke ambaye mpaka saa hizi ajatandika kitanda toka alipo amka. Eti yupo busy na kusaka noti. Hahahahaha wewe ni bachela sio wife material hata iweje. Ndio mnaotuchafulia cv wanawake...
Oyaa,Familia Nawakumbusha Mambo ya Kuzingatia Kwa wewe Kijana Mwenye Malengo.
1)Kutumia Condom kwa kila Tendo ili kulinda Afya yako.
2)Kwenda kwa waganga ili kulinda na kukuza Uchumi wako ,na...
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.