Mbwa alivyo na mambo ya kutisha ambayo ulimwengu mzima umeshangaa

Ckeys

New Member
Apr 26, 2022
4
5
Tazama, Doa, Harufu Mbwa sio tu rafiki bora wa mtu, pia ni bora zaidi linapokuja swala la kunusa.

Hisia zao za harufu inakadiriwa kuwa mahali fulani kati y’a 10000 na 100,000 zaidi bora--au kali zaidi--kuliko yetu.

Ukija katika haya y’a halisia y’a maisha ki mtazamo, ikiwa utaweka kijiko moja cha sukari katika lita milioni moja ya maji, mbwa wangeweza kugundua.

wanadamu tuna vipokezi (receptors )takriban milioni sita vya kunusa kwenye pua , wakati mbwa wana zaidi ya milioni 300

Sio jambo la ajabu mbwa kutumiwa kusaidia kunusa dawa y’a kulevya na mabomu .
 
Unaandika vitu vya misingi sana kwa sababu nimesoma nyuzi zako na kupata kitu.Changamoto ni Kiswahili unachokitumia.Bado naangalia vizuri kwamba hicho ndicho Kiswahili chako au umetafsiri maneno tu?Yaani ni tafsiri "sisisi",one to one correspondence translation!
 
Back
Top Bottom