Kisa cha jirani yangu na mganga wa kienyeji

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
Kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba.

Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibik ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule ugonjwa kwa mtu mwingne na mtu hyo atakufa papo hapo... jiran yangu akawa amekubali ...

Mganga akamwambia ukimwona mtu anaingia nyumban mwako sema "Taarh" na ugonjwa utamfuata naye atakufa hapo hapo..Ila kama akijibu "Retaarh" basi ugonjwa utakurudia nawe utakufa ...jiran yangu akakubal..

Basi mganga akaondoka haraka haraka na kusahau malipo yake.. alipofika mbele kdgo akakumbuka amesahau pesa yake hvyo akaamua kurud ili akachukue malipo yake .. ile anaingia tu jiran akasema "Taarh" mganga akajibu "Retaarh" ...jiran naye akaitikia "ReRetaaarh" unaambiwa hapa tulipo tokea jana asubuh wanajibizana Rerererererererererererererereretaatatatatatarrrrhhhsa sijui nan atakubal kufa kwa niaba ya mwingine
 
*Kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba.Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibik ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule ugonjwa kwa mtu mwingne na mtu hyo atakufa papo hapo... jiran yangu akawa amekubali ...Mganga akamwambia ukimwona mtu anaingia nyumban mwako sema "Taarh" na ugonjwa utamfuata naye atakufa hapo hapo..Ila kama akijibu "Retaarh" basi ugonjwa utakurudia nawe utakufa ...jiran yangu akakubal.. bas mganga akaondoka haraka haraka na kusahau malipo yake.. alipofika mbele kdgo akakumbuka amesahau pesa yake hvyo akaamua kurud ili akachukue malipo yake .. ile anaingia tu jiran akasema "Taarh" mganga akajibu "Retaarh" ...jiran naye akaitikia "ReRetaaarh" unaambiwa hapa tulipo tokea jana asubuh wanajibizana Rerererererererererererererereretaatatatatatarrrrhhhsa sijui nan atakubal kufa kwa niaba ya mwingine
hatari Sana jomba
 
🤣🤣🤣😅🤣🤣😂😂😂
💯💯
 
Watajikuta wote wanaishia tu Re...... Bila kumalizia tar
 
Vipi wameshakufa tayari?
 
Kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba.

Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibik ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule ugonjwa kwa mtu mwingne na mtu hyo atakufa papo hapo... jiran yangu akawa amekubali ...

Mganga akamwambia ukimwona mtu anaingia nyumban mwako sema "Taarh" na ugonjwa utamfuata naye atakufa hapo hapo..Ila kama akijibu "Retaarh" basi ugonjwa utakurudia nawe utakufa ...jiran yangu akakubal..

Basi mganga akaondoka haraka haraka na kusahau malipo yake.. alipofika mbele kdgo akakumbuka amesahau pesa yake hvyo akaamua kurud ili akachukue malipo yake .. ile anaingia tu jiran akasema "Taarh" mganga akajibu "Retaarh" ...jiran naye akaitikia "ReRetaaarh" unaambiwa hapa tulipo tokea jana asubuh wanajibizana Rerererererererererererererereretaatatatatatarrrrhhhsa sijui nan atakubal kufa kwa niaba ya mwingine
Vp mpaka leo jirani na mganga bado wanajibizana tu 😀😀
 
, Kimeumana.
 
Back
Top Bottom