Kiukweli wimbi kubwa la wanaume wa sasa sijui niseme mabadiliko ya karne au!.
Yani wanaume wamekuwa na tabia ambazo zilikuwa kwa wanawake.
Mwanaume ni bora kuwa na rafiki wa kike kuliko wa...
Habarini za mwaka mpya wa serikali bandugu ba JF....
Hivi ukiachana na jina Lako unalotumia kwa social media au jina lako lingine la kizungu au kiarabu... Ni jina gani ulionalo la KIASILI ambalo...
Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula.
Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo.
Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula...
Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu...
Habari?
Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua.
Wakati mwingine wanavaa...
Huu sio uzi wa michezo.
Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo.
Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk...
Habari wakuu.
Naimani wote ni wazima wa afya.
Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili.
1. Kusomesha mwanamke.
2. Kujenga Ukweni.
Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa
1: Umekaa zako kwa raha mstarehe, ghafla unakumbuka umri wako🙄
2: Kaka unawaza...
A Japanese ship is on route back to the shore from the Atlantic Ocean. Seeking the silent waves, the captain decides to take a shower. He keeps his Rolex and diamond studded gold bracelet on the...
I iringa sio mzaliwa nakuja kujishugulisha na harakati za hapa na pale wenyeji wangu nipes connection jinsi ya kuishi mikoa mingine inakua na miiko flani japo kwa kias kidogo kwa sasa naenda...
Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni.
Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika...
Jenga picha leo hii umekutana na kijana ambaye ni wewe mwenyewe kipindi hiko uko na miaka 18, yaani yule wewe wa miaka 18 halafu unapata nafasi ya kumueleza machache, utamueleza nini?
Habari zenu wanajukwaa la Chit Chats na Utani!
Natumai kuwa 90% ya members wa JF mmewahi soma shule za boarding hasa hasa Advance!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kupiga story za kianafunzi...
Tujadili kwa pamoja, Je ni changamoto zipi zinazokikabili kazazi cha millenials hususani kwa Tanzania?
Millenials ni kizazi cha watu wote waliozaliwa Kuanzia miaka ya themanini mwanzoni kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.