Changamoto tunazozipitia ugenini

roselyn2

Member
Jun 7, 2022
86
380
Hello JF members, niko ugenini leo, nimekwenda kumtembelea member wa Jamii Forums

Sijui nimtaje?

Msosi umeletwa, mko mnakula, ukajikuta unaujiuliza wewe na Mungu wako,

"Mungu, hivi huu ni wakati sahihi kweli kumega tena tonge? Au nisubiri subiri kidogo"

Ishawahi kukukuta?

Nawewe tupia changamoto yako
mumbai-indiachurchgatechateau-windsorhotelwoman-female-womenguest-EPN77G.jpg
 
Hello jf members, niko ugenini leo, nimekwenda kumtembelea member wa jamii forums

Sijui nimtaje?

Msosi umeletwa, mko mnakula, ukajikuta unaujiuliza wewe na Mungu wako,

"Mungu, hivi huu ni wakati sahihi kweli kumega tena tonge..? Au nisubiri subiri kidogo"

Ishawahi kukukuta?

Nawewe tupia changamoto yakoView attachment 2278139
Kula aisee ...acha uoga kwenye menu.....kula na usiposhiba usiogope kusema.
 
Nimeenda na mtoto nyumbani kwa rafiki yangu mtoto akaanza michezo mara ashike hiki mara ashike kile. Nikiwa niko busy na story akarusha funguo (fungu la funguo) kwenye TV ya jamaa inchi 75. Katikati ya TV kioo kikavunjika alfu TV yenyewe ya 5million. Akili ikasema nimchape mtoto maana hela sina ya kulipa TV ya watu. Nilimtandika mtoto kwa dakika 15 mpaka mshikaji akaanza kumuombea msamaha "Gilly mwache mtoto utamuua. Gilly TV vitu vya kupita itanunuliwa nyingine". Nikajua hapa kesi ishaisha ila akija kwangu huwa natoa sebuleni TV yangu ya inch 24, ndani naweka TV yangu ya inchi 55 asije akaitaka hiyo. .

Ukiwa ugenini unajikuta tu unakuwa mpole. .
 
Hello JF members, niko ugenini leo, nimekwenda kumtembelea member wa Jamii Forums

Sijui nimtaje?

Msosi umeletwa, mko mnakula, ukajikuta unaujiuliza wewe na Mungu wako,

"Mungu, hivi huu ni wakati sahihi kweli kumega tena tonge? Au nisubiri subiri kidogo"

Ishawahi kukukuta?

Nawewe tupia changamoto yakoView attachment 2278139
ntateseka kwenye mengine ila sio kula tena kama mwenyeji wangu tumezoeana woiiii hata sivungi
 
Ilikuwa day two nilikuwa nimeenda kuwatembelea familia fulani, nyakati za jioni nikawa nachajia simu jikoni, chaja nikaiacha huko huko. Usiku wa manane nashtuka ndo nakumbuka, ikabidi ninyate kimyakimya ili nisikutilizwe wakanihisi vibaya. Nikawa nimeingia mle jikoni, mle ndani wanafuga njagu Yule paka kuniona ndo kuhaha, akaparamia mi vyombo kwenye beseni iliyokuwa juu ya kindoo kidogo, sahani za udongo na chupa ya chai vikashuka chini, kelele zikasikika!

Muda huo chaja haipo hata, kumbe kuna mwanadada aliondoka nayo chumbani kwake

Kabla sijaenda kulala, nilipoenda kuchukua simu, kulikuwa na nyama kwenye sufuria, sasa muda huo niko nahaha, naona fupa moja kwenye sufuria

Ilikuwa ni kawaida mle ndani, nyama kufichwa kwa kuwa watoto wa mle ndani basi tu!

Nikaskia mlango unafunguliwa kwenye chumba kimojawapo

Itaendelea:
 
ikawaje
 
Hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom