Mbeya Kuna Mambo: Hebu Cheki Majina wanayopewa Watoto wa Kisafwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya Kuna Mambo: Hebu Cheki Majina wanayopewa Watoto wa Kisafwa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Albedo, Oct 16, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbeya ni Mkoa wenye Historia tata sana Tanzania, ni Mkoa wenye Makanisa Mengi sana lakini ni Mkoa ambao watu wake wanawindana kama Chui anapowindwa kwa maana Ngozi yake ni dili, lakini vile vile ni Mkoa ambao sasa ikifika saa Kumi na Mbili wakazi wake hujifungia ndani ili kuepuka kushambuliwa kwa Nondo kwa imani za Kishirikina.

  Lakini nimekutana na Jambo la Ajabu ajabu sana juu ya hawa ndugu zetu Wasfwa ambao ndio wakazi wa Mbeya, wamekuwa wakiwapa watoto wao Majina mpaka unashangaa sana

  Mfano wa Majina ya watoto ambayo niliyowahi kukutana nayo pale nilipokuwa niko zamu kwenye wodi ya watoto Rufaa

  1: Frank Lampard Mwambulukutu ( hako ni katoto kadogo)
  2. Scania Hundred
  3: RPCMorogoro Mwakyoma
  4: Rooney

  Sasa Mtu unamwita mtoto wako RPCMorogoro kweli haya ni Mapenzi au

  Napenda sana kusikia kutoka kwa Wasafwa naamini mko hapa Jukwaani
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hayo ni majina manne tu kati ya wanyakyusa takribani 1050000.

  Rooney peke yake haiashirii unyakyusa kama ilivyo Scania Hundred, hujaweka uthibitisho kuwa hao ni wanyakyusa.

  Kulikuwa na kiongozi wa juu jeshi la polisi anaitwa Absolom Mwakyoma isijekuwa umechanganya dawa na mtu akamwita kwa cheo, mkoa wake na jina la ukoo ukadhania ni jina la kuzaliwa.

  Frank ni jina kikristo lenye asili ya uingereza vile vile Lampard ni jina kikristo lenye asili ya uingereza na kaikatazwi na wala si ajabu kumpa mtoto majina hayo mawili.
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Heading, majina ya ajabu ya wasafwa, hoja ya kwanza ushirikina na kupigwa nondo, hoja ya pili majina ya wasafwa. Hoja mbili tofauti kwenye thread moja. Tujadili ipi kwa kipaumbele?
   
 4. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Upuuuzi
   
 5. k

  kibali JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli JF raha! Hii thread imenifanya nicheke mwenyewe,ati mtoto anaitwa RPC morogoro lol!
   
 6. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kasema wasafya sio wanyaki alaa! Hebu soma vizuri usilete makambo. Kama we msafya mweleweshe tu.
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  mbona hayo cha mtoto?....nenda ntwara kaka...
   
 8. B

  Buto JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtwara kuna majina gani ya ajabu?
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Baichikeli, chamaki..
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Nimezungumzia Wasafwa na siyo Wanyakyusa
   
 11. k

  kituro Senior Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwahiyo umepata majina manne tu, mbona huku yapo mengi zaidi ya hayo!
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kaka hayo yamenishangaza sana hasa hilo la RPCMorogoro dah kweli kuwa uyaone
   
 13. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Chenkapa, Achumani, etc.
  Halafu kwa wagosi kuna shekidere, shemgaya, shelukindo, shemweta, sheutani a.k.a shetani, n.k.
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mwakyoma na mwambulukutu sio wasafwa ni wanyakyusa
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Pia kuna yechu kirichto!
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,552
  Likes Received: 12,826
  Trophy Points: 280
  hahahaaa ipo kazi
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Majina ya waakazi wa mkoa wa Mbeya na wenyeji wa mkoa huo yapo tayari kwenye thread kadhaa hapa JF, zaidi kuna mpaka thread inayozungumzia tabia nzima za Wanyakyusa na wenyeji wengine wa mkoa wa Mbeya.

  Ingependeza zaidi ili bandiko lako kama ilingekuwa ni endelezo katika mabandiko yaliyotangulia. Hii ingeweza kupunguza ushangao wako juu ya Wanyakyusa na kupata elimu zaidi juu yao!
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Huyu mleta thread sio NNAUYE JR kweli! Manake uwezo wenu wa kufikiri uko identical
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huyo Nnauye anakuwasheni sana, kama hakukuneni sawasawa!
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mweeh!!
   
Loading...