Tuunde umoja wa kuwa marafiki kupiga story na kupeana ushauri

Lusematic

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
12,038
11,821
habari watu wanguvu ...naimani kila mtu yu mzima na yu afya njems ningependa tujumuikebsote kwa pamoja kwa dhumuni la kuweza kujuana na kupiga story tofauti tofauti ikiwemo kupeana ushauri na utani kidogo....natumia fursa hii kuwakaribisha karibuni sana hii ni thread ya kudumu
 
Na mimi nagonga hodi, kuchungulia kinachojiri humu.

Ila humu love connect, mapenzi yakiwanogea mtajadili hayo saa ngapi!?
 
ha haaa yaani humu ni mixer siunajua tena love connect ila nataka ibua story ili tupige sote hapa
 
NI IVI jamani ushauri nakuchangia ni free mind cha msingi bando lako tu

CHA KUJADILI
jamani kuna kitu kinasumbua sana hivi unapokuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ni haki iwe kwa mwanaume ama kwa mwanamke..?...na kingine ni kweli kondomu inazuia mimba pekee na si ukimwi..?

HAYA TWENDE KAZI
 
Back
Top Bottom