Je, ni sahihi kujifutia taulo la gest?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,303
29,807
Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti huwaga ni wa kuridhisha?
 
Sio sahihi, inabidi demu wako aje na kanga au kitenge viwe 2, chako na chake...

Mtumie kuogea tu...

Maana Taulo za gesti zinatumika na watu wengi sio salama...

UZINZI ni dhambi...
Wee naye bure kabisa Mkuu, hivi unadhani kila wanaolala guest house na lodge wote ni wazinzi? .

Yawezekana wewe bado waishi eidha kwa Shemeji yako au wazazi wako, hujaingia kwenye mfumo rasmi wa utafutaji.
 
Wee naye bure kabisa Mkuu, hivi unadahani kila wanaolala guest house na lodge wote ni wazinzi? .

Yawezekana wewe bado waishi eidha kwa Shemeji yako au wazazi wako, hujaingia kwenye mfumo rasmi wa utafutaji.
Amesema zile za short time. Hizo nyumba kwa kweli siyo guest house bali ni madanguro, nyingine zinakuwa bize hadi mnakaa foleni,ukiingia chumba kinanuka papuchi na jasho.
 
Sio sahihi, inabidi demu wako aje na kanga au kitenge viwe 2, chako na chake...

Mtumie kuogea tu...

Maana Taulo za gesti zinatumika na watu wengi sio salama...

UZINZI ni dhambi...
Kuwa gest na uzinzi vinaendana vp?, anyway asante kwa ushauri wako nimeupokea
 
Guest house za bei chee hapana aisee, ila za hotel nadhani mataulo yao ni masafi kuliko hata la kwako unalotumia nyumbani, taulo lililofuliwa vizuri linajulikana kitu pekew ninachokiogopa hotelini ni blanket, hilo silitumii kamwe
 
Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
Jipende acha kulala gest za ovyo
Bao moja lisikufannye utibu fangasi miaka
 
Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
We jifutie tu ni kawaida tu
Mbona hata mkeo na dadako walishajifutia hilo taulo?
 
Back
Top Bottom