JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sehemu pekee ambayo unaweza ukamtembelea mwanaume wako na ukatoka salama bila kuguswa popote Ni hospitalini akiwa mgonjwa. Tofauti na hapo, aisee hutotoka mzima mzima😂 Uzi tayari.
1 Reactions
14 Replies
867 Views
Kwa sasa Dom bata zimekuwa kibwena kutokana na serikali kuhamia huku. Kuna platinum 4G Kuna Royal village. Kuna waswanu pub ,chimbo linalokuja kwa kasi hapa utamkuta baba mzazi Ushimen anatafuna...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini. Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi. Mtusamehe...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
nakumbuka hii ndo ilikuwaga inanikera kuniamsha tu. wenzangu mlikuwa wapi au darasa la ngapi, ata kazini?
0 Reactions
6 Replies
651 Views
Eh, basi leo nimekumbuka changamoto za nyumba za kupanga kwa kiasi mpaka unatamani kulia. Nakumbuka nilishawahi ambiwa na mwenye nyumba wangu kuwa nisiwe natandika mashuka meupe na kitanda...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza namna gani unaweza kushugulika na toxic people, toxic people ni watu ambao mnaweza kuwa mnafahamiana sana kwa karibu au kidogo lakini huwa wanakufanyia vitu fulani vidogo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu Je ni mbinu gani angeitumia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti Leo NI tarehe 6 na Jumatatu ijayo itakuwa tarahe 11, kweli Mama anaupiga mwingi mpaka siku zinakimbia.
4 Reactions
11 Replies
430 Views
Fungua kitabu cha waongo 9:10-11, inasema. "Siwezi ishi bila wewe" Mwingine anisomee mstari unaofuata...! Cc Zero IQ
6 Reactions
98 Replies
6K Views
Hivi ni nani aligundua diet ya Chapati MBILI na Supu?[emoji848] Nitumie picha yake na Mwaka aliofanikisha hilo swala.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
I see wanasema Wabongo tunaongoza kwa comment za kuchekesha zaidi mitandaoni...Sijui ni kweli? Embu tupia comment ya kuchekesha ambayo umewahi kukutana nayo kwenye mitandao.. Sent using Jamii...
12 Reactions
718 Replies
238K Views
Wakuu samahani huu uzi ni mfupi sana. Sijaja bar kunywa bia ila nimeagiza tu kwa lengo la kuzoom yupi barmaid atanifaa na hili baridi la Makete. Pesa ninayo lakini kila muhudumu yupo busy hatari...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Kuna jamaa anajiita mpwayungu village aisee huyo jamaa ni muongo sijapata kuona kwa kweli. Yaani yeye kila kitu anajua. Uzi tayari
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimekamata txt hii kwa mke wangu, hivi wanawake mna nini?
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu... Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na Kigamboni Mji Mwema au maeneo ya Chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi. Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na...
8 Reactions
62 Replies
5K Views
Hello floor no. 31 Tarehe kama ya Leo Amadala aliivuta pumzi ya Duniani kwa mara ya kwanza. Nashukuru Mungu na wazazi wangu kwa kunifikisha hapa nilipo. Asante Mungu kwa ajili ya Kila kitu...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Wazeee sina mengii nachotaka niwarudishe miaka ya 1945 mwone driving school jinsi ilikuwaga. Hapa ni bongo watu wapo darasani, nachocheka angalia vichwani mwao hao wanafunzi wana mawe ili...
7 Reactions
10 Replies
917 Views
Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa. Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine. Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo ni ijumaa, ijumaa inakuwaga na stress, uchovu na mawazo mengi...yanini kuyapa nafasi hivyo... Angalia kipande hiki kifupi cha video....haya ndo maisha...
1 Reactions
2 Replies
503 Views
Back
Top Bottom