Kwa utafiti wangu kuna majina ambayo kwa kweli ni ya wanawake ambao hawana utulivu kwa asilimia kubwa sana. Mpaka huwa najiuliza haya majina yanakuwa yamebeba roho flani pamoja nayo? Ni utafiti...
Habar ya mchana wadau....
Mwenzenu mie miaka yote nilikuwa natumua Chadema kuangalizia TV station. Sasa ndo washatangaza kuwa from 31st December,2012 hatutoeza kupata station yeyote. So nataka...
Mi nakumbuka siku ile tumeenda canteen kwenye buffet sausage zikawa zimeisha. Wamebaki wanafunzi wawili hawajapata sausage na yule msimamizi wa chakula Mr. Shivj Hindurana anawashawishi wachukue...
Ni pale shemeji na wifi yenu alipokamata njumu mifukoni kwenye suruali yangu! Macho yalinitoka kigugumizi mate kukauka kutaka nimezwe na ardhi! Ilibidi tu niwasingizie wakina Trab na Trat!
Za...
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji
Mimi sina mengi zaidi ya kuomba kufahamishwa kuhusu nini kinahitajika kwa mtu anayetaka kwenda kutembea Zanzibar
Naomba kujulishwa kuhusu aina ya Usafiri...
Huenda baada ya kuhitimu masomo ulimpoteza rafiki au mpenzi wako ama mtu wa muhimu katika shule uliyokuwa unasomea
Uzi huu utumike kumtafuta aliyekuwa mwanafunzi mwenzako katika shule husika. Ni...
Habari Wadau,
Kwa kawaida katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi aidha baina ya wanandoa, au wachumba wanaoishi pamoja au wale wana waliovuta mtoto wa kike (demu) na kuishi nae geto.
Kwa...
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa...
Hongereni na kongoleni MC wote wa Mwanza na vitongoji vyake vya jirani, mfano Kisesa, Magu na kwingineko kwa kazi kubwa mnayoifanya.
Kwakweli kazi iendelee bila kusita. Hata hivyo, mnakumbushwa...
Kwa mara ya kwanza Mwenye enzi Mungu akipenda nitawasili Mwanza siku ya kesho.
Gari wakati wa kwenda nitapanda basi la lampuni ya Kisbo halafu nitarudi na basi la kampuni ya happy nation.
Kwa...
Tabu,shida na changamoto zako ndio sababu ya wewe kutafuta mafanikio zikubali alafu zikabili...na kumbuka mshukuru Mungu kwamba amekuwa mwenye fadhila, Rehema na kukupendelea kipekee.
Neno gani...