Makachu
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 431
- 424
Habari Wadau,
Kwa kawaida katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi aidha baina ya wanandoa, au wachumba wanaoishi pamoja au wale wana waliovuta mtoto wa kike (demu) na kuishi nae geto.
Kwa kawaida kunakuwa na zile moment za hao wapendanao kuwa wanakula pamoja nyumbani aidha chakula cha mchana au jioni.
Sasa katika moment hizi wakati mnakula pamoja. Je, kiuhalisia nani anayestahili kuwa wa kwanza kushiba? Yani kumuachia mwenzake chakula.
1)Mwanaume ndiye anayestahili kushiba na kumuachia mwanamke chakula? Au,
2)Mwanamke ndiye anayestahili kushiba na kumuachia mwanaume chakula. Au,
3)Wote wale mpaka mwisho, au wote wale hadi watakapojihisi wameshiba kwa pamoja? Au,
4)Mmoja aanze kushiba na mwengine aendelee kidogo na msosi kisha ashibe aache chakula?
Nipeni majibu wataalamu.
Maana kuna baadhi ya wanawake wako vizuri kwa kula kama wanaume jinsi wanavyokula au hata kushinda wanaume.