JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huenda baada ya kuhitimu masomo ulimpoteza rafiki au mpenzi wako ama mtu wa muhimu katika shule uliyokuwa unasomea Uzi huu utumike kumtafuta aliyekuwa mwanafunzi mwenzako katika shule husika. Ni...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka.
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari Wadau, Kwa kawaida katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi aidha baina ya wanandoa, au wachumba wanaoishi pamoja au wale wana waliovuta mtoto wa kike (demu) na kuishi nae geto. Kwa...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini, Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa 1; Zongo- uchawi huu unakaa...
19 Reactions
158 Replies
42K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa...
18 Reactions
60 Replies
4K Views
Hongereni na kongoleni MC wote wa Mwanza na vitongoji vyake vya jirani, mfano Kisesa, Magu na kwingineko kwa kazi kubwa mnayoifanya. Kwakweli kazi iendelee bila kusita. Hata hivyo, mnakumbushwa...
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Kwa mara ya kwanza Mwenye enzi Mungu akipenda nitawasili Mwanza siku ya kesho. Gari wakati wa kwenda nitapanda basi la lampuni ya Kisbo halafu nitarudi na basi la kampuni ya happy nation. Kwa...
20 Reactions
196 Replies
8K Views
Kaka Mshana mambo yako haya usogee hapa tafadhari.
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimetumiwa hii message ya trophy point cjui award sasa nauliza kwa wataalam humu ni nn na ina maana gani kwa mtumijaji wa jf?
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Tabu,shida na changamoto zako ndio sababu ya wewe kutafuta mafanikio zikubali alafu zikabili...na kumbuka mshukuru Mungu kwamba amekuwa mwenye fadhila, Rehema na kukupendelea kipekee. Neno gani...
1 Reactions
12 Replies
555 Views
😂😂😂💦
3 Reactions
4 Replies
541 Views
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana . Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy . Nimeitwa mamy Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘 Kakue chimamy wangu mwaya.
16 Reactions
179 Replies
8K Views
Kifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku. Kumwagilia moyo...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Mambo ni ajee Basi bwana Leo tarehe 23 ni birthday yangu... nijitakie heri ya siku ya kuzaliwa.... Huu mwaka kwangu ulikuwa wa majonzi na kilio sana....kifupi nilipitia mazito so nilikuwa na...
8 Reactions
12 Replies
597 Views
Hey guys, its been a decade tangu mara ya mwisho kulog in humu ndani, Jaman wale mabwana zangu na mashoga zangu wote nimewamiss saana i wish ningekuwa na muda wa kuzogoaa kama zamani🥲 all in all...
4 Reactions
13 Replies
588 Views
Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa. Basi...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
jamani kuna uzi wa jamaa kule anaelezea alikuwa anaumwa jino. Nimeona na mimi nielezee jinsi sikio la kulia lilivyochakaza! Yaani sikio,jino,macho sio vitu vya kuchezea kabisaaa.. Mimi nilikaaa...
13 Reactions
86 Replies
14K Views
☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake. 👇🏾Na hapa chini Kuna mdau...
15 Reactions
93 Replies
10K Views
Back
Top Bottom