JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamani kuna uzi wa jamaa kule anaelezea alikuwa anaumwa jino. Nimeona na mimi nielezee jinsi sikio la kulia lilivyochakaza! Yaani sikio,jino,macho sio vitu vya kuchezea kabisaaa.. Mimi nilikaaa...
13 Reactions
86 Replies
14K Views
☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake. 👇🏾Na hapa chini Kuna mdau...
15 Reactions
93 Replies
10K Views
Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana. Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer, Maana lugha zimekuwa nyingi sana kitaa, Mara hizi hazina wanga sana, zile hupati kisukar mara hata ukiwa na kisukari unakunywa, nyingine sinaleta...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Zamani nilikuwa nashangaa sana mtu anafikishaje miaka 30 hana nyumba wala gari?! Aisee naombeni mnisamehe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
8 Reactions
7 Replies
682 Views
Guys, September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4] Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time, What does it feel like to be in 30s? will my skin change...
13 Reactions
122 Replies
6K Views
Habari wakuu! Moja kwa moja kwenye mada husika. Nilikua sehemu huko kijijini napiga kazi, ila baada ya muda kama wa mwaka nikahamia town. Kule bush nikawa nimezoeana na jamaa flan nae ni...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea. Kaa...
1 Reactions
5 Replies
696 Views
Ngoja nisome comments... Au na huu mtaupuuzia?
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Leo nilivokua msibani kwa bibi wa Wingerezani nimemuona binadamu asie wa kawaida nikajaribu kumpiga pic lakini kama akahisi nitaweka pic zake kama 1 mtaona kwanza macho yake hayako kama binadamu...
8 Reactions
83 Replies
5K Views
Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vikuu vya Tanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikiwemo mizaha na vicheshi miongoni mwa wanafunzi...
20 Reactions
112 Replies
52K Views
Hello Guys! Kama unatokea familia ya kiganga au wewe ni Mchawi unaye loga, tunajua haya mambo niya siri, sawa lakini nakuomba utupe tu dondoo mnavyo fanyaga mpaka mka mfunga mtu asiweze pata...
11 Reactions
40 Replies
7K Views
Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili.
4 Reactions
12 Replies
699 Views
BASI LEO NIWA FURAHISHE WAKAGUZI WA FACEBOOK MAANA NIMECHOKA NA TABIA YAO YA KUNYAMAZISHA POST ZANGU😀😀. Mimi na mpenzi wangu tulikuwa tuna wasiliana kwa video call kwenye whatsapp jana...
1 Reactions
1 Replies
711 Views
Hii tabia binafsi imenishinda kabisa hata kama niwe na shida gani. Labda nikope Lakini utakuta mwingine hana aibu, popote pale hata mtu ambae hamjui " mwanangu una elfu tatu karibu hapo..."...
5 Reactions
11 Replies
595 Views
Labda Mimi BabaMorgan I'm too young to understand kumbe inawezekana mtu kutoka jijini Dar es salaam na kwenda Mwanza kutafuta mganga alafu huku mjini ameaga kuwa kaenda Mwanza kikazi.
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom