JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi. Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu. Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Dear Anko, Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu anaangalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
7 Reactions
5 Replies
860 Views
Hao magenius wawili ambao ama kwa hakika 2021 wamefanya vizuri kuliko vijana wengi katika suala zima la uandishi wenye tija na maudhui bomba yenye kufikirisha na kubadilisha.wote Wana maarifa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele. Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza...
24 Reactions
58 Replies
5K Views
Mpenzi wangu amefiwa na mjomba wake. Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau. Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie, Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa! Niliitwa kituoni...
0 Reactions
9 Replies
642 Views
Leo nilienda Sauna ,siipendi maana ule umoto unanishinda japo nilivumilia hivyo hivyo ,hapa nilipo nimechoka nasikia usingizi. Kuna wakaka wazuri wazuri wa kila...
12 Reactions
254 Replies
23K Views
Kwa style hii ndo unategemea africa eti ipo siku tutafanikiwa Yaani kila kitu sisi ni Mungu tu Mtoto kuwa na kipaji cha kuimba tayari ni makosa mbele za Mungu Wengine mpira mtoto akiwa na kipaji...
1 Reactions
1 Replies
490 Views
Pale ikulu pale pana kitu sote atukijuwi... Pale ikulu pale sio mahali pa mchezo mchezo wakati mwingine kuta zinaongea.... Pale ikulu pale ukifika hauwendi kufanya vile unataka wewe ila vile...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Poll Poll
VERZUZ TZ: EPISODE 2 * Brandy * Brandy Rayana Norwood (born February 11, 1979), better known by her mononym Brandy, is an American singer, songwriter, record producer, actress and model. She is...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
mkwepu jr Huyu jamaa azawadiwe hiyo tuzo na atambulike kuwa ndiye memba anaye mwaga likes kuliko members wote humu. Kama unabisha andika jina la memba mwingine ambaye unadhani anamwaga likes kwa...
3 Reactions
5 Replies
749 Views
#FBF ... Flash Back Friday; Enzi za kale nikitoka shule nakimbilia Home kucheki katuni via DSTV, ambapo channel za katuni zilikuwa: K-TV [GoTV] (300), Cartoon Network (301), Boomerang (302)...
1 Reactions
7 Replies
890 Views
Nimeiweka hapa hiyi vidio nikijua inaendana na hili jukwaa kwasababu ina ujumbe. Ila mi lengo langu kujua hiyo nyimbo alieitumia huyo jamaa kwenye hiyi video.
1 Reactions
4 Replies
971 Views
Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu. Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali. Nawasilisha.
8 Reactions
285 Replies
48K Views
Nlikua nacheki kipindi kimoja apa kwenye televisheni, daktari mmoja wa uingereza alikua anaeleza kuwa bado mpk sasa wanasayansi hawajaweza kuja na dawa ya kuongeza ukubwa wa dushelele. Ila uku...
3 Reactions
16 Replies
15K Views
  • Poll Poll
VERZUZ TZ: EPISODE 1 * Craig David * Craig Ashley David (born 5 May 1981) is a British singer and songwriter who rose to fame in 1999, featuring on the single "Re-Rewind" by Artful Dodger. David's...
1 Reactions
7 Replies
780 Views
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie majina ya kiume yanayoanzia na herufi P mnayoyajua.
2 Reactions
27 Replies
27K Views
1: Fatuma 2: Mariam 3: Mwajuma 4: Rehema 5: Irene 6: Zuena 7: Anitha 8: Diana 9: Khadija 10: Rose 11: Aisha 12: Asha 13: Shani 14: Jacklynn (jacky) 15: Amina Nashindwa kuelewa kama ni kutokana na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa hatua niliyofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila hivyo nitakufa bila kuacha historia yeyote hapa duniani. Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umasikini?
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom